Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

Jaribuni kumzuia muone, GSM atakata huduma fasta muanze kutembeza bakuli, huyo kwa sasa ni untouchable hapo utopoloni
 
Jaribuni kumzuia muone, GSM atakata huduma fasta muanze kutembeza bakuli, huyo kwa sasa ni untouchable hapo utopoloni
GSM alikuwa Yanga na Manara alikuwa Simba.

Huyo ni chawa tu ana bahati ya kulelewa kama demu, hata Mzee Bakhresa alishakwenda naye Dubai.
 
Kama yapo salama basi itakuwa maajabu.
Kweli nimekumbuka wakati yuko CCM alitaka kugombea udiwani Mzee Tozi wa bandarini akamgharamia kampeni na huyo mzee ni mukaka kinoma alifanya finishing ndiyo maana hadi leo jamaa anakalia tako moja. Ni kweli hayamo yule dingi alipita nayo kibaharia
 
Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara.

Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
MC wenu ni Manara na alishasema kuwa atamuita Eng atambulishe wachezaji😂😂😂 mtake msitake
 
Back
Top Bottom