GE2025 Wananchi: "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia

GE2025 Wananchi: "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan utumishi wake umeyagusa maisha yetu kwa namna ya kipekee kwa hakika OktobaTunatiki" sauti hizi za makundi mbalimbali zinazisikika Singida.

 
Yani mtake kumnyonga mtu wao msingida mwenzao halafu wawashangilie hivi wenzetu vyuo vya uongo mnahitimu wapi?
 
Kuna namna ukiwa mfia CCM, chadema, simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili
 
November ndio nitawasikiliza watoa hoja wanaomkosoa mama
 
Back
Top Bottom