The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
- Thread starter
- #21
Absolutely, ndivyo ilivyo....Yale Yale tu,fucking cowards, ni kama vile wanavyodai hawajuhi aliyempiga risasi Lisu,
Kama hawajuhi, basi hii nchi ni ya hovyo Sana, kama rogue elements wanaweza kuingia nchi ni na kufanya uhalifu na kuondoka, bila kugundulika, na, wao, ni wapumbavu Sana, na serikali inabidi ipinduliwe, kama imeshindwa basic task ya kulinda maisha ya watu, Majambazi watekaji tumeisgaambiwa wapo changombe, sasa polisi wstoke waruonyeshe kwamba pale changombe hakuna jumba utessji, Bali ni nyumba ya, kuswalia tu! Shenzi, sana
Ikifikia hatua, ni wazi kuwa, kunakuwa hakuna maana ya uwepo wa serikali ...
Iliyopo inakuwa imeshindwa na inapaswa kuondolewa kwa njia yoyote hata kupinduliwa....
Mpaka sasa, nadhani kuna umuhimu Jeshi kuchukua nchi. Uongozi wa kiraia umeshindwa kazi. Umegeuka wenyewe kuwa ujambazi na uhalifu....
Hii haiwezekani hata kidogo...!!