Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

Absolutely, ndivyo ilivyo....

Ikifikia hatua, ni wazi kuwa, kunakuwa hakuna maana ya uwepo wa serikali ...

Iliyopo inakuwa imeshindwa na inapaswa kuondolewa kwa njia yoyote hata kupinduliwa....

Mpaka sasa, nadhani kuna umuhimu Jeshi kuchukua nchi. Uongozi wa kiraia umeshindwa kazi. Umegeuka wenyewe kuwa ujambazi na uhalifu....

Hii haiwezekani hata kidogo...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…