GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanasema anapimwa imani kama anaweza kukaa benchi bila malalamiko au kuhama chama.

Akipita mtihani atapewa pande kubwa mpaka mtashangaa wenyewe.
Hya bwana
Ila mtu wenu kifua Hana tatizo
Ataanza Mambo yake kisirisiri
 
Lakini mkuu, JM hajaangushwa kwenye kura za maoni. Naona ni chama chake kimemtosa.
 
Aliyenunua ng'ombe unaambiwa ni January mwenyewe.
 
Hii kandarasi imefika mwisho sasa. Zumbe hafanyi siasa tena. Mmalize hii thread muongelee vibwengo wenu wengine.


Na kama unadhani huyo Ng'ombe sijui Mbuzi sio posso na muvi basi una akili za kushikiwa.

Taifa lenu lote masikini. Sio Bumbuli peke yake Kenge nyie
 
Shame on you CCM
 
Hana Cha kupoteza ashaiba sana na bado nyingine ameficha nje ya nchi
 
Suala la February kuwa na siku 28 nadhani sio hasara kubwa kwa wanabumbuli bali kwa chama ndio naona kama wamepoteza asset kwani dogo sio liability
 
Hana Cha kupoteza ashaiba sana na bado nyingine ameficha nje ya nchi
Kama kawa kama Dawa !
Maisha yanaendelea na kufa kupo palepale uwe na mijihela au huna 😳 !
Duh πŸ™„ hii ni kazi kweli kweli πŸ˜…πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kama kawa kama Dawa !
Maisha yanaendelea na kufa kupo palepale uwe na mijihela au huna 😳 !
Duh πŸ™„ hii ni kazi kweli kweli πŸ˜…πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
Maskin kujifariji kua mtu alieiba matrilioni kua atakufa aisee ni ukosefu mkubwa wa akili ....na Mimi nikipata gepu napiga tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…