johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Heri Wenye njaa na kiu ya Haki maana hao watashibishwa!Watanganyika wanakiu ya Haki.
Chalinze ipi mbona mimi sijaona hilo tukio?Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2][emoji91]
Kwani kuna Sheria inayosema ni lazima kila mtu aone? πΌ
Kwani Vita yake na Mbowe imekwisha?Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak πππ₯
Naunga mkono hoja hakoKAZI ni kipimo cha UTU
Yaani umenikera, nilitegemea nikute kideoWananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak πππ₯
ππYaani umenikera, nilitegemea nikute kideo
Siasani Vita haviishagi kama unabisha waulize Ruto na Gachagua πΌKwani Vita yake na Mbowe imekwisha?
kuna watu hawana kazi za kufanya eti aseme neno roho zao zipone kweliiiii lissu ana neno gani lakuponesha watu??Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak πππ₯
Ngoja niifate kwa Namdi Azikiwe kule X ππYaani umenikera, nilitegemea nikute kideo
Kwani roho ni nini? πkuna watu hawana kazi za kufanya eti aseme neno roho zao zipone kweliiiii lissu ana neno gani lakuponesha watu??
Watanganyika ni watu wa wapi?Watanganyika wanakiu ya Haki.
Muhuni mukubwa kabisa. Msilete umbea. Lisu hana uwezo wa kukusanya nyomiNgoja niifate kwa Namdi Azikiwe kule X ππ
Subiri Hapo hapo πMuhuni mukubwa kabisa. Msilete umbea. Lisu hana uwezo wa kukusanya nyomi
Profile lako kubwa sana sikutegemea ulete uswahili. Ulipaswa uweke kideoSubiri Hapo hapo π