Pre GE2025 Wananchi wa Chalinze wazuia msafara wa Tundu Lisu wakitaka aseme Neno roho zao zipone, awaahidi mkutano mkubwa 23 June anaporejea kutoka Singida!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao

Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze

Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Jumaa Mubarak 😃😃🔥
 
Jumaa Mubarak [emoji2][emoji2][emoji91]
Chalinze ipi mbona mimi sijaona hilo tukio?

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao

Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze

Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Kwani Vita yake na Mbowe imekwisha?
 
Yaani umenikera, nilitegemea nikute kideo
 
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao

Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze

Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Jumaa Mubarak 😃😃🔥
kuna watu hawana kazi za kufanya eti aseme neno roho zao zipone kweliiiii lissu ana neno gani lakuponesha watu??
 
Back
Top Bottom