Pre GE2025 Wananchi wa Chalinze wazuia msafara wa Tundu Lisu wakitaka aseme Neno roho zao zipone, awaahidi mkutano mkubwa 23 June anaporejea kutoka Singida!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Si huwa nasikiaGA wale wa mitaa ya Kinondoni wakiwasema wenzako wa mitaa ya Lumumba kuwa wanaozuia misafara wanakuwa wameandaliwa?
 
Jamanin maza atakatisha ziara huko Korea maana hali siyo mzuri, ukweli wananchi wanaishi maisha magumu haswa
 
All wee Need is Lissu, nothing more nothing less
 
Uzi bila picha ni sawa na Wali bila ndondo
 
Anarudi tena singida huko asiondoke labda ndugu watampa sapoti kuliko wale wahuni wa kule Mwembe yanga!
 
Prince ana maoni gani
 
Uzi bila picha ni sawa na Wali bila ndondo
Kwahiyo umeacha kabisa kumfuatilia Tundu Antipas LisuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Zamani wewe ndio ungejazia lakini Leo unahoji ushahidi wa picha sawia na Jingalao πŸ˜„πŸ”₯
 
Wakati umefika sasa "maneno ya kutuliza mioyo" kwenye hii mikutano yageuzwe chachu ya kuleta mabadiliko kivitendo, tusiishie tu kusikiliza kila siku, kushangilia, kula ugali, na baadae kwenda kulala, mwishowe tunageuka kuwa kama walevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…