CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama ulikuwa umeshalanduka na visungura na jua hili utaonaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulikuwa umeshalanduka na visungura na jua hili utaonaje ?
Watu waliomo ndani ya mipaka ya Tanganyika.Watanganyika ni watu wa wapi?
Watu waliomo ndani ya mipaka ya Tanganyika.
Sikumbuki kama ilikuwa New chox au ---Ngoja niifate kwa Namdi Azikiwe kule X 😄😄
Si huwa nasikiaGA wale wa mitaa ya Kinondoni wakiwasema wenzako wa mitaa ya Lumumba kuwa wanaozuia misafara wanakuwa wameandaliwa?Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Odeon 😄😄Sikumbuki kama ilikuwa New chox au ---
Jamanin maza atakatisha ziara huko Korea maana hali siyo mzuri, ukweli wananchi wanaishi maisha magumu haswaWananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Wamechoka na urasmu wa CCMWatanganyika wanakiu ya Haki.
Huyu mlinzi wa chama cha mapinduzi achana nayeSubiri Hapo hapo 😂
All wee Need is Lissu, nothing more nothing lessWananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Uzi bila picha ni sawa na Wali bila ndondoWananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Bado iko kwenye Mioyo yetu.Nchi ya Tanganyika ilikufa mwaka 1964
Anarudi tena singida huko asiondoke labda ndugu watampa sapoti kuliko wale wahuni wa kule Mwembe yanga!Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
Kwa hiyo unahisi umepigwa au!Uzi bila picha ni sawa na Wali bila ndondo
Prince ana maoni ganiWananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak 😃😃🔥
PoleBado iko kwenye Mioyo yetu.
Kwahiyo umeacha kabisa kumfuatilia Tundu Antipas Lisu😂😂😂Uzi bila picha ni sawa na Wali bila ndondo
Haamini kwa sababu TAL ametengwa 😂😂😂Kwa hiyo unahisi umepigwa au!
Pole ya nini Propaganda zenu zimegonga mwamba.Pole