Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze
Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Jumaa Mubarak πππ₯