Pre GE2025 Wananchi wa Chalinze wazuia msafara wa Tundu Lisu wakitaka aseme Neno roho zao zipone, awaahidi mkutano mkubwa 23 June anaporejea kutoka Singida!

Pre GE2025 Wananchi wa Chalinze wazuia msafara wa Tundu Lisu wakitaka aseme Neno roho zao zipone, awaahidi mkutano mkubwa 23 June anaporejea kutoka Singida!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao

Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo Chalinze

Wanachalinze wamemwambia Leo hii wanaanza maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Jumaa Mubarak 😃😃🔥
huu umepangwa, na umedoda, hata huo ujao utapangwa na utadoda pia vile vile. Naona anachuja na kuchokwa kwa haraka sana huyu mwanasiasa 🐒
 
Back
Top Bottom