SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni upumba.vu
Vimba na upasukeHuu ni upumba.vu
Hao walioshika bango ni chawa tu.
Pokea Salam Kutoka bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere
Unachoamini kinakufaa ,kila mtu yupo huruHao walioshika bango ni chawa tu.
Magu ni mzalendo basi inatosha.
Utakatifu ni Kwa Walio hai, Si waliokufa,
Mungu ni Mungu wa Walio hai.
Nilisisimka siku nikimuangali live akitamka maneno haya, "Mtanikumbuka" na nimesisimka tena baada ya kurudia kuitizama Video hii fupi tena.MAGUFULI a.k.a CHUMA