Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Lile jengo lina laana nyingi za ma ccm. Lichomwe tutajenga jingineBungeni hapana
Kwani Dodoma nao bado wapo barabarani mkuu? Kweli net inarunyima taarifa sana.Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana.
Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi.
Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni chama haramu nchini Tanzania.
No. Kwenye nyumba yetu akiingia nyoka hatuichomi moto nyumba. Tunamtoa nyoka!Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana.
Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi.
Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni chama haramu nchini Tanzania.
Tuko kazini mitaani zinakuja. Fuatilia BBC Swahili tupo nao mitaani sasahiviDar vipi leo hatupati update yoyote
Babe hata mimi nakuunga. Bungeni hapana na siyo bunge tu hata mali za umma na za watu. Wa deal ba CCM.Bungeni hapana