Wananchi wa DSM mnachoringia ni hayo mazingira ya kukaa katikati ya maji ya machafu?

Wananchi wa DSM mnachoringia ni hayo mazingira ya kukaa katikati ya maji ya machafu?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Kumekuuwa na posts humu JF kutoka kwa wanaojiita wakazi wa DSM kuvamiwa na ndugu zao kutoka mikoani bila taarifa, wakidai wanawapigia simu tayari wakiwa stand ya Magufuli na mifuko yao ya kaja shangazi.

Wengine wanalamikia kujaziwa jiji lao nzuri na watu wa mikoani. Kwanza km siyo Magufuli wakati wa covid-19 mngekufa njaa washenzi msio na fadhila maana alikataa kuweka karantini.

Pili kwanini mnajipendekeza kwa wanaume wasio na muda na hilo jiji lenu chafu lililozingirwa na maji machafu ambayo hata chura hawezi kukaa?
 
Haya ni moja ya matatizo ya afya ya akili.. Jitahid kijana uende hospitalin upewe ant depressant upunguze muweweseko..
Kama si hivyo huo ni wivu tu..😀
 
Kumekuuwa na posts humu JF kutoka kwa wanaojiita wakazi wa Dsm kuvamiwa na ndugu zao kutoka mikoani bila taarifa...
Dar ni Moja ya Miji ya hovyo na hatarishi kuishi maana Iko bondeni na mauchafu Kila mahala.

Mvua ikinyesha lazima waumbuke.Kiukweli Kwa Hali hiyo Sihami Mkoani.
 
Jiji lina nuka mavi na washa zoea ile Hari😂😂

Sometimes sishangai juu ya hakiri za viongozi wetu kwani 95% wanaishi dar
Huwezi kunusa mavi kwa mda mlefu na bado hakiri zikawa timamu kichwani never
 
Unakosea sana, Dar es salaam ndio jiji kuu kwa nchi ya Tanzania, kila kitu kinapatikana Dar es Salaam, vyuo vikubwa nchini, barabara nzuri nchini, ofisi kubwa za uma, hospital kubwa, ukiumwa matibabu yakashindikana huko mkoani unaandikiwa rufaa uje Dar es salaam ikishindikana hapa ni either ufe, kama una uwezo uende India au usubiri Rehema za Mungu. Kiufupi Dar es Salaam kila mtu anapenda kuja usiponde jiji la daslamu kwa sababu ya wajinga wanaokataa ndugu zao

Kumbuka wanaokataa ndugu zao wametoka huko huko mikoani mbona wazaramo hawana shida kabisa
 
Back
Top Bottom