Unakosea sana, Dar es salaam ndio jiji kuu kwa nchi ya Tanzania, kila kitu kinapatikana Dar es Salaam, vyuo vikubwa nchini, barabara nzuri nchini, ofisi kubwa za uma, hospital kubwa, ukiumwa matibabu yakashindikana huko mkoani unaandikiwa rufaa uje Dar es salaam ikishindikana hapa ni either ufe, kama una uwezo uende India au usubiri Rehema za Mungu. Kiufupi Dar es Salaam kila mtu anapenda kuja usiponde jiji la daslamu kwa sababu ya wajinga wanaokataa ndugu zao
Kumbuka wanaokataa ndugu zao wametoka huko huko mikoani mbona wazaramo hawana shida kabisa