Wananchi wa Irani wafanya maandamano ya ghasia kushinikiza viongozi wa nchi kujiuzulu

Lazima pesa imetembezwa hapo na mabeberu na wasipoangalia vizuri watavurugana kwelikweli.

Nilitarajia waandamane kushinikiza viongozi wao kwa nchi yao kushindwa kulipa kisasi kwa USA siyo kwa upuuzi huo.

Au siku hizi Iran ni Jamhuri ya kilokole?
 


Hata Mimi numemshangaa mkuu.. Yaani linaloitwa taifa kubwa mashariki ya kati linashindwa kutofautisha ndege ya abiria na ndege ya kivita??? Kwani jeshi la Iran hakuna radar au Kila kitu kikipita Kwenye eneo la jeshi ni kudungua tu.. Hv inawezekana kweli kuwa hyo ndege ilipita eneo hilo kimakosa???nashindwa kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…