Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai.

Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako huko huko Dodoma na ajue 2025 hatutampa Kura Hata moja yeye na ccm yake.

Madhara ya ubinafsishaji huo ni makubwa na yatapoteza ajira mamilioni na itafanya nchi ifilisikena isiwe na sauti na bandari yetu.

Iwapo Bandari itachukuliwa hatua inayofuata ni uuzwaji wa Ngorongoro crater.

Kuna watu wanatupeleka kusiko.
 
Hao wanywa mbege wanajua nini kuhusu bandari?
 
Huo mkataba wa kuchukuliwa Bandari yetu ukipitishwa na bunge ajiandae kwenda kuomba kazi pengine kwani ubunge wake utapotea
 
Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai.

Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako huko huko Dodoma na ajue 2025 hatutampa Kura Hata moja yeye na ccm yake.

Madhara ya ubinafsishaji huo ni makubwa na yatapoteza ajira mamilioni na itafanya nchi ifilisikena isiwe na sauti na bandari yetu.

Iwapo Bandari itachukuliwa hatua inayofuata ni uuzwaji wa Ngorongoro crater.

Kuna watu wanatupeleka kusiko.
Na 2025 watampitisha ili wamalizie kutuuza hata sisi!
MUNGU BABA INGILIA KATI!!
 
Back
Top Bottom