peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huo mkataba wa kuchukuliwa Bandari yetu ukipitishwa na bunge ajiandae kwenda kuomba kazi pengine kwani ubunge wake utapoteaHao wanywa mbege wanajua nini kuhusu bandari?
Na 2025 watampitisha ili wamalizie kutuuza hata sisi!Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai.
Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako huko huko Dodoma na ajue 2025 hatutampa Kura Hata moja yeye na ccm yake.
Madhara ya ubinafsishaji huo ni makubwa na yatapoteza ajira mamilioni na itafanya nchi ifilisikena isiwe na sauti na bandari yetu.
Iwapo Bandari itachukuliwa hatua inayofuata ni uuzwaji wa Ngorongoro crater.
Kuna watu wanatupeleka kusiko.
Ficha ujinga wako jadili hojaHao wanywa mbege wanajua nini kuhusu bandari?
Kwa hiyo waache bandari ibinafsishwe kwa rafiki zake Samia uarabuni?Hao wanywa mbege wanajua nini kuhusu bandari?
Na wewe muatirika wa mikojo ya wanaume unajua nini ?Hao wanywa mbege wanajua nini kuhusu bandari?
Ni ngumu kuuficha.Hana uwezo huo.Ficha ujinga wako jadili hoja