Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao.
Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi wa zaidi ya miaka nane na serikali kuhusu eneo la uwanja wa ndege wamesema mbali na matamko mbalimbali ya viongozi wakiahidi kulipa fidia lakini bado mgogoro huo haujapatiwa ufumbuzi hali inayowakosesha usingizi.