Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

kweli mwenye macho ambiwi tazama. hatukubali kuongozwa na kipofu tena . kawe tunataka mabadiliko mdee kanyuma bwana wache makamanda wapite
 
Ungekuja na summary ya vitu unavyosema kuna konakona, tutashindwa kuchangia kwa kuwa hatujui yaliyomo.
 
TAFAKURI BAADA YA HABARI.

Mkemia na Upinzanium!

Mkemia mmoja nguli, PHD (Permanent Head Damage), alijimwambafy kwa wakemia wenzie mpaka wakampa ukuu wa kitengo!
Mara baada ya kushika ofisi alifanya mambo mengi makubwa ikiwa ni pamoja na kununua vinu vingi vya kuchakata madini. ... lakini kubwa zaidi ni pale alipoutangazia umma kuwa lile tatizo la muda mrefu la madini ya 'Mwambium' kuwa na kiasi kikubwa sana cha 'Upinzanium' yeye atalimaliza na si muda mrefu atapata pure 'MWAMBIUM', yaani 99.999% pure.

Wakemia wenzie walipomuambia 'MWAMBIUM' safi kiasi hicho ni hatari na kwamba kiasi fulani cha 'Upinzanium' kinatakiwa kibakie kubalance shobo akawaambia waache kuwashwa ... huku akiwauliza wao walifanya lipi la maana kipindi chao?
Hakuishia hapo, akawatimua mateknishani wawili waliomsaidia sana wakati akiusaka ukuu na kisha kumuajiri mwanasheria, bingwa wa kumsifia, ili awanyamazishe wakemia wenzie...!

Waskia sana ... kumbe mkemia alikuwa haijui vizuri 'MWAMBIUM', kwamba ikiwa safi sana na ukaitunza sehemu moja kuzidi uzito unaokubalika huwa inajilipua yenyewe bila shinikizo la nje (SPONTANEOUS REACTION)! Sasa maabara imelipuka na CHAIN REACTION inatishia kuangamiza kiwanda chote! [emoji848][emoji848][emoji848] ... ama kweli Kemia bila Fizikia ni Maumivu! ... na nshomile waliishasemaga:" "...yakwatilwa mugogo niwe mshuma! (aliyekutwa na mkungu wa ndizi ndiye mwizi!) CASE CLOSED!

KIBURI SI MAUNGWANA!

[emoji28]
[emoji109] [emoji111][emoji111][emoji111][emoji95]
 
Mdee akatafute kibarua cha kufanya baada ya28/10/2020
Tinachukua jimbo mapema sanaaa
 
Mtawatambua kwa matunda yao. Ukitaka kujua hawa ni watu aina gani, tazama mamilioni ya ruzuku wanayopokea kila mwezi yanakoelekezwa.
 
Ni kwel kabisa na mimi hicho kitabu nimekisoma leo asubuhi aiseeee nikabaki nacheka tu.
Nimeshangaa sana kuona msomi mwanasheria kama yule anaandaaje kitabu cha kitoto vile, yaaaan 85% ya maudhui yake ni uongo mtupu.
Wanasheria wote hupenda kuitwa wasomi lakini siyo kweli kwamba kusoma sheria ni kuwa msomi.
 
Ni kweli utagundua kuwa hata sehemu waliposema migogoro imekwisha kwa kupitia video za gwajima zilizotembea wananchi wanasema mwenywe kuna migogoro ya ardhi,tatizo la maeneo ya huduma za afya ambazo hawajatekeleza kwa miaka yote kumi.
 
Halima ni bomu, aachie ngazi.
Atakuwa mstaarabu sana akikubali kuwa hajafanya lolote kuliko kung'ang'ania jimbo ambalo limemshinda.

Gwaji boy anaonyesha atakuwa na ushirikiano na serikali hivyo kuwa na ushawishi wa kujenga miundombini jimbonii Kawe.
Halima ud wote wa miaka 10, aidha yuko jela au mahakamani kila baada ya miezi mitatu.

Hicho ndicho alichochagua kufanya, bifu na serikali.
Kwa wana Kawe anatupotezea muda na oppurtunities za maendelelo.
Halima MUST go.
 
Nyie gwajiboys mmepewa hela nyingi na askofu wenu ili kumchafua Halima tunajua mpango mzima, hakika gwaji hapiti hapa.

Mtu haitaji kulipwa ili kusimamia haki na kweli,kawe tumechoka kudanganywa, gwaji ndio mbunge wa kawe
 
Me nafahamu kabisa ukiona mtu ana tamaa ya madaraka sana ujue anataka kutimiza haja yake sidhani kama binadamu huwa anaweza kupoteza muda wake na nguvu ili aje atetee wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halima umekaa kawe kwa mda wa miaka 10 na bola aibu mnamtetea kwa kusema kuwaagufuli hawapi hela wapinzan mi swali langu je halima alishawahi watetea wanakawe ubungen, kwenye kitabu chake kaandila kuhusu baadhi ya vitu alivyofanya na ambayo vito katika machakato swali langu n Je anatolea wapi basi hzo hela za kufanya hayo mambo hyo burget aliyoandika ametolea wapi hela [emoji849][emoji849]kama sio Muongo na tapeli
 
Hii lak 6 umepeleka wapi maana mradi haujakamilika
IMG-20200930-WA0125.jpg
 
Hili jambo limefichwa lakini litakuwa wazi kabisa yule bibie ni mwizi kabisa na mwaka huu watu tushachoka nae

Apewe gwajiboy

Uliposikia Safari ya Marekani ukaona Bora hiyo, Kuliko Safari ya Mbinguni.

Sawa endeleeni kusikiliza porojo za Gwajiboy tapeli.

Sie tunamuunga mkono Mdee , Kama ni maendeleo basi jimbo la Kongwa anapotoka Ndugai lingekuwa balaa.

Fika huko uone hata Maji ni shida.
 
Back
Top Bottom