Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Kwa ufupi halima hawezi kuwaletea wanakawe maendeleo kwa mfano tu Rais Magufuli ndani ya miaka mitano amefanya mengi ambayo yanaonekana sasa huyu miaka 10 lakin hakuna kinachoonekana [emoji849]
Nyie vibwengo Halima anakusanya kodi..hamjui ni sabotage ya serikali kwenye majimbo yote ya upinzani?Acheni kulipa kodi kama serikali haileti maendeleo..nyambafu
 
CCM Nguvu mnayoitumiaga kumchagua halima mdee mngekuaga mnaitumia nakuleta maendeleo yawatu leo watanzania tusingekuwa tunawaza ata kuwafutilieni mbali.tangu Elfu2010 naona mnatumiaga Nguvu nyingi kwauyu mtoto wakike lakn mwisho wasku anawachapa vbaya sana.Nikuibie Siri siku mtakayo kuwa makni kuptisha jina lamgombea ndio mtapata ili Jimbo lakini kwasasaivi uyu dada hamtatoa kabsa maana mnamuwekea wagombea wepesi Sana Kama manyoya yakuku au pamba
 
Wananchi wa kawe msije kufanya makosa kwa kumchagua mcheza pono.

ID nyingi zinazomtetea gwajima ni IDs mpya,Gwajima ni tapeli ni bora angetumia mbinu waliyoitumia kule twitter ya wapwa 2in1 na kununua ID za zamani.

Halima Mdee ni Sawa na Wabunge 100 wa CCM,Halima Mdee ni mbunge wa taifa ukiachilia mbali kuwatetea wana kawe pia anatetea taifa kwa ujumla ,Lema alishasema Mbunge kazi yake sio kwenda kulink na serikali,Mbunge kazi yake ni kuipiga spana serikali.

Umeleta "Bra Braaaa" tu ,weka mambo ambayo halima amedanganya na wewe uweke ukweli ,sio kila mtu anaishi Kawe.
 
Naona misukule mliofufuliwa na Porn star mmeitana.
Kawe sio Jimbo la porojo,mnataka Mbunge ajenge Barabara mnafahanu bei ya km 1 ya lami?
Anayekusanya kodi ndiye mjenzi wa miundombinu,kura Mdeee atapata kama alivyopata awamu nyingine Kwasababu amekuwa si tu Mbunge wa Kawe bali wa masuala ya kitaifa.

Watu wenye akili fupi Ndio wanataka Mbunge ambaye kila akisimama ni Jambo la Jimbo lake tu,binafsi nitampa kura kama mbunge wa taifa
 
Basi wewe nenda na mdee maana naona ndo kitukuu chake
 
Nenda kajipange huna mada wewe
Umekaa unaandika na mishipa imekutoka kama mwarubaini
 
Wewe unaongea pumba kama hupendi maendeleo hama kawe usituungamanishe na mdee bibi mwongo yulee balaa
 

Attachments

  • 9E7C9844-B802-421F-9516-9119458A1115.jpeg
    53.2 KB · Views: 2
Umeongea point lakin ingekuwa vema kama ungeleta ushahidi wa kuonyesha alivyokuwa anatetea kawe akiwa bungen
 
Ukisema uzalendo maslahi utaeleweka.
 
Kwenye hili siwez kumtetea kabisa halima japo namkubali

Hapa halima kafeli saaana yaan kazingua
Na anafanya kura tumpe gwajiboy
Ngojaaa..ngojaa..ngoja..ngojaa..ngojaa.... Kwani Sukari inauzwa Kijimbo??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi leo mla kondoo hana jibu mpeni jibu la huyo mzee.Its very pathetic mzee miaka imeshapita but can reason a million times ahead of you....your green brains isnt for politics rather kunyea mavi tuu
 

Attachments

  • Mh.! Gwajima abananishwa maswali magumu na mzee huyu kijiweni, baada 360 x 640.mp4
    34 MB
Nilikuwa najiuliza ni kwanini Halima Mdee wala hana 'Moto' na Kupiga 'Kampeni' kama vile afanyavyo 'Mshindani' wake huyo ( Askofu Gwajima ) ila bahati nzuri nimeshajibiwa kwamba Halima Mdee wala hana 'Wasiwasi' kwakuwa anajua hata 'asiposhinda' Ubunge 2020 kwa Cheo chake cha BAWACHA tayari ni 'Tiketi' yake tosha ndani ya CHADEMA kwa Yeye kuwa Mbunge 2020 -2025. Askofu Josephat Gwajima ameshashinda Kawe.
 
Vijana wa Lumumba pamoja na mabosi wawo Lissu akawashika Korodani zawo laivu ...umeongea ukweri wanapiga whistle na post wote jimwageni tu comment ili tuonekane hoja imeungwa kama vile mifisiem bungeni ndiyooooo.....mwaka huu wata jamba cheche
 
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona karibu wote mliochangia humu mawazo na hoja zenu ni ya aina moja ?? Kuna namna sio bure[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Yani kiukweli kawe sijui tuna mkosi gani..... Huyo halima hovyo, huyo gwajizo foshizo ndo kabisa... Ndio gwaji nae hovyo, ikiwa mtu kasaliti kondoo wake ili aingie mjengoni, achalia mbali kuwala sijazungumzia pia ubaguzi na kukosa adabu kwa waliomzidi umri(pengo) sidhani kama atatukumbuka pindi atakapochaguliwa. Ikiwa mtu anaongopa anafufua watu, ndio anaongopa kwani Hakuna ushahidi wa wazi unaonyesha mtu kafa Kisha yeye akamfufua ili tu apige hela.. Sembuse ashindwe kutuongopea sie Akina nyonzo bin mvule!! Bora kura yangu niwape Chauma.
 
Watanzania wote wanajua kuwa Magufuli hapeleki pesa kwa Majimbo ya wapinzani ....!!
Tangu mfumo wa Vyama vingi uanze Mwaka 1995, Moshi haijawahi kuwa na Mbunge wa CCM; Sasa Fanya Comparison ya Moshi na Mikoa mingine yenye CCM Hapo ndo utajua; kwamba Maendeleo ni Mentality na mind set za watu waishio eneo husika na si Mbunge 100%; Hivyo kutumia kauli hiyo kwa baadhi ya Majimbo ni kujidanganya;

Warioba Mashaka,

St. George, Bermuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…