Pre GE2025 Wananchi wa Kilimanjaro wachangishana kurekebisha barabara mbovu yenye urefu wa kilomita 72

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama hamlipi kodi yes igeni, ila kama mnalipa kodi, uliza hizo kodi zenu zinafanya nini,Hii inapaswa kufanyika endapo Kodi hazilipwi kabisa.

Ila kama mnalipa Kodi zinapigwa na aanao piga wanasamehewa, ni ujinga sana kujitolea hata Mungu atawaona wajinga
Ndugu yangu nimepita Kijijini kwetu hivi karibuni, hali ya barabara ni mbaya mno

Utasema hatukusanyi Kodi, ili hali Wilaya yetu ni Moja ya Wilaya 20 Bora zinazokusanya Kodi kubwa.

Tunasubiri mwakani 2025 tuwaondoe kupitia Boksi la Kura, maana utasema hatuna Mbunge wala wa kututetea 🙌
 
Hii nchi imejaaa wahuni sana, huu ujinga naujua sana, Raia wanajitolea kujenga Barabara au sujui Kalavati, baadae zinatolewa pesa, zile pesa zinapigwa na kwenye report wanaandika ni Serikali ndio imejenga.

Mtaani kwa wananchi unasomeka ni Raia ndio wametengeneza, Ila Documents Serikalini zinasoma ni Serikali. Hapo jua watu wamejigawiwa kitambo sana.

Hatuna tabia ya kuhoji, hatuna tabia ya kuwajibisha watasala,
Unaweza kupumzika sasa mkuu.
Unaongea mambo ya kufikirika sana...
Kwamba at the moment mwenye shida ya barabara ni serikali au Wananchi?
Kwanini usiwasifie hao wananchi na kuilaum serikal ya eneo husika kutokutelekeza majukum yake.

Muathirika wa moja kwa moja wa miundombinu mibovu ni nani?
Wacha hizi siasa za kwenye egg shell...

Mimi nawapongeza hao wanachi kwa kazi nzuri na kujitambua...

Kutoka utumwani ni pamoja na kuweza kujitegemea kifikra...
Hapo hakuna siasa za uchawa ni kaz tu.
 
Ni ya kufikirika kwa Taifa lenye wajinga kama wewe, unazania ni kweli pesa hazipo? Narudia tena tuendelee na uzezeta make ni mtaji
 
barabarapic.jpg

Shughuli ya kupanua moja ya barabara zilizoko Kijiji cha Kiruweni Wilaya ya Moshi, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo ikiendelea ili waweze kuondokana na adha ya kusafirisha mazao kichwani.

Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.

Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.

Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.​

barabara2.jpg

Mtambo wa kushindilia barabara ukiendelea na kazi ya kushindilia moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.

"Barabara zetu zilikuwa zimefikia hatua mbaya na hazikuwa zinapitika. Mwaka huu mvua zilinyesha nyingi, barabara zimeharibika zaidi kiasi kwamba hata wananchi wanashindwa kupeleka ndizi sokoni," amesema Mchungaji Mamuya na kuongeza:
Aidha, amesema kufuatia hali hiyo walilazimika kuwatangazia waamini na wananchi kwa ujumla kuona ni namna gani kutengeneza barabara hizo, ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.

"Tunamshukuru Mungu, wananchi wetu wanaoishi nje ya hapa waliokuja kusherekea Sikukuu ya Pasaka, ambao walikuwa ibadani siku hiyo, nao waliona changamoto hiyo na wakaamua kuchangia. Aprili 7, 2024 tulianza kuchangia kanisani na kuhamasisha kazi hiyo.

"Tuliwaomba Tarura wakafika, wakakagua barabara na kutupa ushauri namna bora ya kuzifanyia kazi. Sisi kwa pamoja tukaona tuanzie hapo. Gharama walizotupa zilikuwa kubwa, zaidi ya Sh180 milioni, lakini haikutukatisha tamaa. Tuliungana kwa pamoja kama jamii na kuanza kazi hii,” amesema mchungaji huyo.

barabara3.jpg

Mtambo wa kumwagilia maji barabara ukiendelea na kazi hiyo katika moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Wananchi wafunguka
Wakizungumza baadhi ya wananchi wa kijiji hicho, wamesema ujenzi wa barabara hizo utawawezesha kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kutoka nyumbani hadi sokoni na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.

John Tarimo, amesema barabara hizo walizoea kuzitengeneza kwa majembe ya mkono kupitia msaragambo wa kijiji, lakini kwa sasa hilo lilishindikana kutokana na mvua ambazo ziliharibu zaidi barabara hizo.

Anasema baadhi zilijifunga na nyingine kuwa na mashimo makubwa ambayo yalifanya zisipitike.

"Barabara zetu tumekuwa tukizitengeneza kwa majembe ya mikono na mbaya zaidi kwa sasa kijijini huku hakuna vijana, ni wazee ambao hawawezi kutoka msaragambo kutengeneza barabara, hali iliyosababisha barabara kuharibika na kutopitika kabisa. Hii imechangiwa zaidi na mvua nyingi zilizonyesha mwaka huu,” amesema.
barabara1.jpg

Moja ya barabara zinazoendelea kutengenezwa katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel

Tarimo amesema Aprili walivyokwenda kijijini huko, barabara zilikuwa hazipitiki. Kupitia uongozi wa kanisa, wananchi wa eneo hili walijichangisha na kuwashirikisha Wana-Kiruweni wanaoishi maeneo mbalimbali nchini. “Tukashirikishana changamoto hiyo na hivyo tukakubaliana kuchangishana, ili kufungua barabara zote za kijiji hiki ambazo mtandao wake ni kilometa 72,” amesema Tarimo.

Amesema asilimia kubwa ya wakazi wa kijiji hicho ni wakulima, wanahitaji mazao yao yasafirishwe kupeleka sokoni, hali iliyowafanya wengi kuyabeba kichwani kufikia soko kutokana na ubovu wa barabara.

Amesema kutokana na Serikali kukabiliwa na mambo mengi, anatoa wito kwa wananchi katika maeneo mbalimbali kuanza kuchukua hatua ya kutatua changamoto zinazowakabili watu waishio vijijini.
“Tusisubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Pale wanapoweza kufanya waunganishe nguvu kama jamii na kufanya jambo, wajitokeze na kufanya. Watu wanapotoka vijijini na kwenda mijini, wakifanikiwa wasisahau nyumbani. Warudi nyumbani kuboresha mazingira ya kwao,” amesisitiza Tarimo.

Shicha Mmbando, mkazi wa kijiji hicho, amesema wameamua kutoa sehemu ya mashamba yao na nguvu kazi, ili kuhakikisha miundombinu ya barabara inapitika kwa urahisi wakati wote wa mvua na kiangazi.

"Barabara zilikuwa ni changamoto. Tunatembea zaidi ya kilometa 10 na mizigo kichwani tukitoa mazao shambani maeneo ya Riata na Holili. Tunapeleka mizigo kichwani kwa sababu magari hayawezi kupita, tunashukuru zikikamilika sasa maisha yatakuwa rahisi," amesema.
Wachaga ndio walivo hawaingoji serikali
 
Unaweza kupumzika sasa mkuu.
Unaongea mambo ya kufikirika sana...
Kwamba at the moment mwenye shida ya barabara ni serikali au Wananchi?
Kwanini usiwasifie hao wananchi na kuilaum serikal ya eneo husika kutokutelekeza majukum yake.

Muathirika wa moja kwa moja wa miundombinu mibovu ni nani?
Wacha hizi siasa za kwenye egg shell...

Mimi nawapongeza hao wanachi kwa kazi nzuri na kujitambua...

Kutoka utumwani ni pamoja na kuweza kujitegemea kifikra...
Hapo hakuna siasa za uchawa ni kaz tu.
So swala ka kujitegemea liko kwa wananchi tu? Serikalini mbona wao wanaishi ki anasa? hizo pesa zinatoka wapi?
Na hao hao Raia wataimbiwa nyimbo walipe kodi zaidi na zaidi ili waletewe maendeleo, endeleeni na ujinga make ni mtaji
 
barabarapic.jpg

Shughuli ya kupanua moja ya barabara zilizoko Kijiji cha Kiruweni Wilaya ya Moshi, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo ikiendelea ili waweze kuondokana na adha ya kusafirisha mazao kichwani.

Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.

Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.

Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.​

barabara2.jpg

Mtambo wa kushindilia barabara ukiendelea na kazi ya kushindilia moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.

"Barabara zetu zilikuwa zimefikia hatua mbaya na hazikuwa zinapitika. Mwaka huu mvua zilinyesha nyingi, barabara zimeharibika zaidi kiasi kwamba hata wananchi wanashindwa kupeleka ndizi sokoni," amesema Mchungaji Mamuya na kuongeza:
Aidha, amesema kufuatia hali hiyo walilazimika kuwatangazia waamini na wananchi kwa ujumla kuona ni namna gani kutengeneza barabara hizo, ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.

"Tunamshukuru Mungu, wananchi wetu wanaoishi nje ya hapa waliokuja kusherekea Sikukuu ya Pasaka, ambao walikuwa ibadani siku hiyo, nao waliona changamoto hiyo na wakaamua kuchangia. Aprili 7, 2024 tulianza kuchangia kanisani na kuhamasisha kazi hiyo.

"Tuliwaomba Tarura wakafika, wakakagua barabara na kutupa ushauri namna bora ya kuzifanyia kazi. Sisi kwa pamoja tukaona tuanzie hapo. Gharama walizotupa zilikuwa kubwa, zaidi ya Sh180 milioni, lakini haikutukatisha tamaa. Tuliungana kwa pamoja kama jamii na kuanza kazi hii,” amesema mchungaji huyo.

barabara3.jpg

Mtambo wa kumwagilia maji barabara ukiendelea na kazi hiyo katika moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Wananchi wafunguka
Wakizungumza baadhi ya wananchi wa kijiji hicho, wamesema ujenzi wa barabara hizo utawawezesha kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kutoka nyumbani hadi sokoni na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.

John Tarimo, amesema barabara hizo walizoea kuzitengeneza kwa majembe ya mkono kupitia msaragambo wa kijiji, lakini kwa sasa hilo lilishindikana kutokana na mvua ambazo ziliharibu zaidi barabara hizo.

Anasema baadhi zilijifunga na nyingine kuwa na mashimo makubwa ambayo yalifanya zisipitike.

"Barabara zetu tumekuwa tukizitengeneza kwa majembe ya mikono na mbaya zaidi kwa sasa kijijini huku hakuna vijana, ni wazee ambao hawawezi kutoka msaragambo kutengeneza barabara, hali iliyosababisha barabara kuharibika na kutopitika kabisa. Hii imechangiwa zaidi na mvua nyingi zilizonyesha mwaka huu,” amesema.
barabara1.jpg

Moja ya barabara zinazoendelea kutengenezwa katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel

Tarimo amesema Aprili walivyokwenda kijijini huko, barabara zilikuwa hazipitiki. Kupitia uongozi wa kanisa, wananchi wa eneo hili walijichangisha na kuwashirikisha Wana-Kiruweni wanaoishi maeneo mbalimbali nchini. “Tukashirikishana changamoto hiyo na hivyo tukakubaliana kuchangishana, ili kufungua barabara zote za kijiji hiki ambazo mtandao wake ni kilometa 72,” amesema Tarimo.

Amesema asilimia kubwa ya wakazi wa kijiji hicho ni wakulima, wanahitaji mazao yao yasafirishwe kupeleka sokoni, hali iliyowafanya wengi kuyabeba kichwani kufikia soko kutokana na ubovu wa barabara.

Amesema kutokana na Serikali kukabiliwa na mambo mengi, anatoa wito kwa wananchi katika maeneo mbalimbali kuanza kuchukua hatua ya kutatua changamoto zinazowakabili watu waishio vijijini.
“Tusisubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Pale wanapoweza kufanya waunganishe nguvu kama jamii na kufanya jambo, wajitokeze na kufanya. Watu wanapotoka vijijini na kwenda mijini, wakifanikiwa wasisahau nyumbani. Warudi nyumbani kuboresha mazingira ya kwao,” amesisitiza Tarimo.

Shicha Mmbando, mkazi wa kijiji hicho, amesema wameamua kutoa sehemu ya mashamba yao na nguvu kazi, ili kuhakikisha miundombinu ya barabara inapitika kwa urahisi wakati wote wa mvua na kiangazi.

"Barabara zilikuwa ni changamoto. Tunatembea zaidi ya kilometa 10 na mizigo kichwani tukitoa mazao shambani maeneo ya Riata na Holili. Tunapeleka mizigo kichwani kwa sababu magari hayawezi kupita, tunashukuru zikikamilika sasa maisha yatakuwa rahisi," amesema.
Hongera sana!
 
SEREKALI IONE AIBU, WANANCHI HAO NI WALIPA KODI KAMA WENGINE, WAMEANZA HATUA MOJA, SEREKALI IMALIZIE HATUA YA PILI, IWAPE LAMI (BITUMEN)
Iwe ni aina fulani ya ppp,
WATANZANIA WATAKAOONYESHA JUHUDI FULANI ZA KIMAENDELEO SEREKALI YETU IWE NA UTARATIBU WA KUWASHIKA MKONO WANANCHI HAO, ITAONGEZA BIDII NA KUHARAKISHA MAENDELEO YA TANZANIA YETU.
 
people must stop to pay taxes and use all that money to buils their own roads.
I agree that the government isn't doing much, if anything, to help our communities/towns

But consider this. The people in Kiruweni want the road fixed now because they know the government won't do it anytime soon.

Even though they are spending their own money instead of waiting for the government, it may seem like a loss because they're still paying taxes without getting the road fixed. However, in the long run it's a win for them.

The less we rely on the government, the more power we have.
 
Ujinga ni nini?
Kwamba serikal kuacha kujenga reli kunakuzuia kusafirisha mazao yako...? Au ujinga ni kutafuta njia mbadala?

You are so irrelevant
Nimekuuliza Kodi zinaenda wapi? Mbona Serijali isiyo kuwa na pesa tunaona kwa macho ni inavyo ishi kwa anasa?

Kuna siku kwenye hio Barabara utaenda msafara wa V8 kama 30 kwenda kuitazama na kuwapongeza wilio jitolea.
 
Wachaga hatujalala.

Kuchangishana kujenga barabara za vijiji hatujaanza leo.

Lyamungo - Kibosho road, sehemu kubwa ya hii barabara imejengwa kwa michango ya wananchi. Pia kuna sehemu nyingine nyingi wanafanya hivi.

Pia si kweli eti mkuu wa mkoa amewaamsha. Kwa hakika mkuu wa mkoa yeye ndiye anaamshwa.

Hapo hakuna cha mkono wa kinachoitwa serikali. Nguvu za wanakijiji hizo na ndugu wanaoishi mikoa mwingine lakini wanatoa hapo kijijini.

Kama hufahamu sasa fahamu.

Safi sana na wanafuata nyayo za Mwanza, tena Mwanza wanazijenga kwa kiwango cha mae. Barabra wanazojenga wananchi huko zinaubora kuliko za tarura.

Wachaga walikuwa wamelala, ni heri sasa wanaanza kuamka. Utakuta mkuu wa Mkoa huko siyo mchaga, kawazindua.
 
Nimekuuliza Kodi zinaenda wapi? Mbona Serijali isiyo kuwa na pesa tunaona kwa macho ni inavyo ishi kwa anasa?

Kuna siku kwenye hio Barabara utaenda msafara wa V8 kama 30 kwenda kuitazama na kuwapongeza wilio jitolea.
Your point of Kodi and all those are valid,

Issue hapa ni kwamba wanachi wanataka barabara now, just that...

Hilo la kusubiri serikal wananchi wa Moshi wamewaachia wengine mkuu... hilo sio jambo la kupongezwa? wakae walie hamna barabara?
 
barabarapic.jpg

Shughuli ya kupanua moja ya barabara zilizoko Kijiji cha Kiruweni Wilaya ya Moshi, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo ikiendelea ili waweze kuondokana na adha ya kusafirisha mazao kichwani.

Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.

Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.

Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.​

barabara2.jpg

Mtambo wa kushindilia barabara ukiendelea na kazi ya kushindilia moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.

"Barabara zetu zilikuwa zimefikia hatua mbaya na hazikuwa zinapitika. Mwaka huu mvua zilinyesha nyingi, barabara zimeharibika zaidi kiasi kwamba hata wananchi wanashindwa kupeleka ndizi sokoni," amesema Mchungaji Mamuya na kuongeza:
Aidha, amesema kufuatia hali hiyo walilazimika kuwatangazia waamini na wananchi kwa ujumla kuona ni namna gani kutengeneza barabara hizo, ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.

"Tunamshukuru Mungu, wananchi wetu wanaoishi nje ya hapa waliokuja kusherekea Sikukuu ya Pasaka, ambao walikuwa ibadani siku hiyo, nao waliona changamoto hiyo na wakaamua kuchangia. Aprili 7, 2024 tulianza kuchangia kanisani na kuhamasisha kazi hiyo.

"Tuliwaomba Tarura wakafika, wakakagua barabara na kutupa ushauri namna bora ya kuzifanyia kazi. Sisi kwa pamoja tukaona tuanzie hapo. Gharama walizotupa zilikuwa kubwa, zaidi ya Sh180 milioni, lakini haikutukatisha tamaa. Tuliungana kwa pamoja kama jamii na kuanza kazi hii,” amesema mchungaji huyo.

barabara3.jpg

Mtambo wa kumwagilia maji barabara ukiendelea na kazi hiyo katika moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.

Wananchi wafunguka
Wakizungumza baadhi ya wananchi wa kijiji hicho, wamesema ujenzi wa barabara hizo utawawezesha kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kutoka nyumbani hadi sokoni na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.

John Tarimo, amesema barabara hizo walizoea kuzitengeneza kwa majembe ya mkono kupitia msaragambo wa kijiji, lakini kwa sasa hilo lilishindikana kutokana na mvua ambazo ziliharibu zaidi barabara hizo.

Anasema baadhi zilijifunga na nyingine kuwa na mashimo makubwa ambayo yalifanya zisipitike.

"Barabara zetu tumekuwa tukizitengeneza kwa majembe ya mikono na mbaya zaidi kwa sasa kijijini huku hakuna vijana, ni wazee ambao hawawezi kutoka msaragambo kutengeneza barabara, hali iliyosababisha barabara kuharibika na kutopitika kabisa. Hii imechangiwa zaidi na mvua nyingi zilizonyesha mwaka huu,” amesema.
barabara1.jpg

Moja ya barabara zinazoendelea kutengenezwa katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel

Tarimo amesema Aprili walivyokwenda kijijini huko, barabara zilikuwa hazipitiki. Kupitia uongozi wa kanisa, wananchi wa eneo hili walijichangisha na kuwashirikisha Wana-Kiruweni wanaoishi maeneo mbalimbali nchini. “Tukashirikishana changamoto hiyo na hivyo tukakubaliana kuchangishana, ili kufungua barabara zote za kijiji hiki ambazo mtandao wake ni kilometa 72,” amesema Tarimo.

Amesema asilimia kubwa ya wakazi wa kijiji hicho ni wakulima, wanahitaji mazao yao yasafirishwe kupeleka sokoni, hali iliyowafanya wengi kuyabeba kichwani kufikia soko kutokana na ubovu wa barabara.

Amesema kutokana na Serikali kukabiliwa na mambo mengi, anatoa wito kwa wananchi katika maeneo mbalimbali kuanza kuchukua hatua ya kutatua changamoto zinazowakabili watu waishio vijijini.
“Tusisubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Pale wanapoweza kufanya waunganishe nguvu kama jamii na kufanya jambo, wajitokeze na kufanya. Watu wanapotoka vijijini na kwenda mijini, wakifanikiwa wasisahau nyumbani. Warudi nyumbani kuboresha mazingira ya kwao,” amesisitiza Tarimo.

Shicha Mmbando, mkazi wa kijiji hicho, amesema wameamua kutoa sehemu ya mashamba yao na nguvu kazi, ili kuhakikisha miundombinu ya barabara inapitika kwa urahisi wakati wote wa mvua na kiangazi.

"Barabara zilikuwa ni changamoto. Tunatembea zaidi ya kilometa 10 na mizigo kichwani tukitoa mazao shambani maeneo ya Riata na Holili. Tunapeleka mizigo kichwani kwa sababu magari hayawezi kupita, tunashukuru zikikamilika sasa maisha yatakuwa rahisi," amesema.
Mama yeye anakopa Kwa ajili ya matumbo ya Wahuni
 
Back
Top Bottom