Ndugu yangu nimepita Kijijini kwetu hivi karibuni, hali ya barabara ni mbaya mnoKama hamlipi kodi yes igeni, ila kama mnalipa kodi, uliza hizo kodi zenu zinafanya nini,Hii inapaswa kufanyika endapo Kodi hazilipwi kabisa.
Ila kama mnalipa Kodi zinapigwa na aanao piga wanasamehewa, ni ujinga sana kujitolea hata Mungu atawaona wajinga
Unaweza kupumzika sasa mkuu.Hii nchi imejaaa wahuni sana, huu ujinga naujua sana, Raia wanajitolea kujenga Barabara au sujui Kalavati, baadae zinatolewa pesa, zile pesa zinapigwa na kwenye report wanaandika ni Serikali ndio imejenga.
Mtaani kwa wananchi unasomeka ni Raia ndio wametengeneza, Ila Documents Serikalini zinasoma ni Serikali. Hapo jua watu wamejigawiwa kitambo sana.
Hatuna tabia ya kuhoji, hatuna tabia ya kuwajibisha watasala,
Ni ya kufikirika kwa Taifa lenye wajinga kama wewe, unazania ni kweli pesa hazipo? Narudia tena tuendelee na uzezeta make ni mtajiUnaweza kupumzika sasa mkuu.
Unaongea mambo ya kufikirika sana...
Kwamba at the moment mwenye shida ya barabara ni serikali au Wananchi?
Kwanini usiwasifie hao wananchi na kuilaum serikal ya eneo husika kutokutelekeza majukum yake.
Muathirika wa moja kwa moja wa miundombinu mibovu ni nani?
Wacha hizi siasa za kwenye egg shell...
Mimi nawapongeza hao wanachi kwa kazi nzuri na kujitambua...
Kutoka utumwani ni pamoja na kuweza kujitegemea kifikra...
Hapo hakuna siasa za uchawa ni kaz tu.
Wachaga ndio walivo hawaingoji serikali
Shughuli ya kupanua moja ya barabara zilizoko Kijiji cha Kiruweni Wilaya ya Moshi, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo ikiendelea ili waweze kuondokana na adha ya kusafirisha mazao kichwani.
Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.
Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.
Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.
Mtambo wa kushindilia barabara ukiendelea na kazi ya kushindilia moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.
Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.
"Barabara zetu zilikuwa zimefikia hatua mbaya na hazikuwa zinapitika. Mwaka huu mvua zilinyesha nyingi, barabara zimeharibika zaidi kiasi kwamba hata wananchi wanashindwa kupeleka ndizi sokoni," amesema Mchungaji Mamuya na kuongeza:
Aidha, amesema kufuatia hali hiyo walilazimika kuwatangazia waamini na wananchi kwa ujumla kuona ni namna gani kutengeneza barabara hizo, ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.
"Tunamshukuru Mungu, wananchi wetu wanaoishi nje ya hapa waliokuja kusherekea Sikukuu ya Pasaka, ambao walikuwa ibadani siku hiyo, nao waliona changamoto hiyo na wakaamua kuchangia. Aprili 7, 2024 tulianza kuchangia kanisani na kuhamasisha kazi hiyo.
"Tuliwaomba Tarura wakafika, wakakagua barabara na kutupa ushauri namna bora ya kuzifanyia kazi. Sisi kwa pamoja tukaona tuanzie hapo. Gharama walizotupa zilikuwa kubwa, zaidi ya Sh180 milioni, lakini haikutukatisha tamaa. Tuliungana kwa pamoja kama jamii na kuanza kazi hii,” amesema mchungaji huyo.
Mtambo wa kumwagilia maji barabara ukiendelea na kazi hiyo katika moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.
Wananchi wafunguka
Wakizungumza baadhi ya wananchi wa kijiji hicho, wamesema ujenzi wa barabara hizo utawawezesha kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kutoka nyumbani hadi sokoni na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.
John Tarimo, amesema barabara hizo walizoea kuzitengeneza kwa majembe ya mkono kupitia msaragambo wa kijiji, lakini kwa sasa hilo lilishindikana kutokana na mvua ambazo ziliharibu zaidi barabara hizo.
Anasema baadhi zilijifunga na nyingine kuwa na mashimo makubwa ambayo yalifanya zisipitike.
"Barabara zetu tumekuwa tukizitengeneza kwa majembe ya mikono na mbaya zaidi kwa sasa kijijini huku hakuna vijana, ni wazee ambao hawawezi kutoka msaragambo kutengeneza barabara, hali iliyosababisha barabara kuharibika na kutopitika kabisa. Hii imechangiwa zaidi na mvua nyingi zilizonyesha mwaka huu,” amesema.
Moja ya barabara zinazoendelea kutengenezwa katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel
Tarimo amesema Aprili walivyokwenda kijijini huko, barabara zilikuwa hazipitiki. Kupitia uongozi wa kanisa, wananchi wa eneo hili walijichangisha na kuwashirikisha Wana-Kiruweni wanaoishi maeneo mbalimbali nchini. “Tukashirikishana changamoto hiyo na hivyo tukakubaliana kuchangishana, ili kufungua barabara zote za kijiji hiki ambazo mtandao wake ni kilometa 72,” amesema Tarimo.
Amesema asilimia kubwa ya wakazi wa kijiji hicho ni wakulima, wanahitaji mazao yao yasafirishwe kupeleka sokoni, hali iliyowafanya wengi kuyabeba kichwani kufikia soko kutokana na ubovu wa barabara.
Amesema kutokana na Serikali kukabiliwa na mambo mengi, anatoa wito kwa wananchi katika maeneo mbalimbali kuanza kuchukua hatua ya kutatua changamoto zinazowakabili watu waishio vijijini.
“Tusisubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Pale wanapoweza kufanya waunganishe nguvu kama jamii na kufanya jambo, wajitokeze na kufanya. Watu wanapotoka vijijini na kwenda mijini, wakifanikiwa wasisahau nyumbani. Warudi nyumbani kuboresha mazingira ya kwao,” amesisitiza Tarimo.
Shicha Mmbando, mkazi wa kijiji hicho, amesema wameamua kutoa sehemu ya mashamba yao na nguvu kazi, ili kuhakikisha miundombinu ya barabara inapitika kwa urahisi wakati wote wa mvua na kiangazi.
"Barabara zilikuwa ni changamoto. Tunatembea zaidi ya kilometa 10 na mizigo kichwani tukitoa mazao shambani maeneo ya Riata na Holili. Tunapeleka mizigo kichwani kwa sababu magari hayawezi kupita, tunashukuru zikikamilika sasa maisha yatakuwa rahisi," amesema.
So swala ka kujitegemea liko kwa wananchi tu? Serikalini mbona wao wanaishi ki anasa? hizo pesa zinatoka wapi?Unaweza kupumzika sasa mkuu.
Unaongea mambo ya kufikirika sana...
Kwamba at the moment mwenye shida ya barabara ni serikali au Wananchi?
Kwanini usiwasifie hao wananchi na kuilaum serikal ya eneo husika kutokutelekeza majukum yake.
Muathirika wa moja kwa moja wa miundombinu mibovu ni nani?
Wacha hizi siasa za kwenye egg shell...
Mimi nawapongeza hao wanachi kwa kazi nzuri na kujitambua...
Kutoka utumwani ni pamoja na kuweza kujitegemea kifikra...
Hapo hakuna siasa za uchawa ni kaz tu.
Hongera sana!
Shughuli ya kupanua moja ya barabara zilizoko Kijiji cha Kiruweni Wilaya ya Moshi, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi wa eneo hilo ikiendelea ili waweze kuondokana na adha ya kusafirisha mazao kichwani.
Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.
Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.
Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.
Mtambo wa kushindilia barabara ukiendelea na kazi ya kushindilia moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.
Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.
"Barabara zetu zilikuwa zimefikia hatua mbaya na hazikuwa zinapitika. Mwaka huu mvua zilinyesha nyingi, barabara zimeharibika zaidi kiasi kwamba hata wananchi wanashindwa kupeleka ndizi sokoni," amesema Mchungaji Mamuya na kuongeza:
Aidha, amesema kufuatia hali hiyo walilazimika kuwatangazia waamini na wananchi kwa ujumla kuona ni namna gani kutengeneza barabara hizo, ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.
"Tunamshukuru Mungu, wananchi wetu wanaoishi nje ya hapa waliokuja kusherekea Sikukuu ya Pasaka, ambao walikuwa ibadani siku hiyo, nao waliona changamoto hiyo na wakaamua kuchangia. Aprili 7, 2024 tulianza kuchangia kanisani na kuhamasisha kazi hiyo.
"Tuliwaomba Tarura wakafika, wakakagua barabara na kutupa ushauri namna bora ya kuzifanyia kazi. Sisi kwa pamoja tukaona tuanzie hapo. Gharama walizotupa zilikuwa kubwa, zaidi ya Sh180 milioni, lakini haikutukatisha tamaa. Tuliungana kwa pamoja kama jamii na kuanza kazi hii,” amesema mchungaji huyo.
Mtambo wa kumwagilia maji barabara ukiendelea na kazi hiyo katika moja ya barabara katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, ambazo zinajengwa kwa nguvu za wananchi.
Wananchi wafunguka
Wakizungumza baadhi ya wananchi wa kijiji hicho, wamesema ujenzi wa barabara hizo utawawezesha kusafirisha mizigo yao kwa urahisi kutoka nyumbani hadi sokoni na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.
John Tarimo, amesema barabara hizo walizoea kuzitengeneza kwa majembe ya mkono kupitia msaragambo wa kijiji, lakini kwa sasa hilo lilishindikana kutokana na mvua ambazo ziliharibu zaidi barabara hizo.
Anasema baadhi zilijifunga na nyingine kuwa na mashimo makubwa ambayo yalifanya zisipitike.
"Barabara zetu tumekuwa tukizitengeneza kwa majembe ya mikono na mbaya zaidi kwa sasa kijijini huku hakuna vijana, ni wazee ambao hawawezi kutoka msaragambo kutengeneza barabara, hali iliyosababisha barabara kuharibika na kutopitika kabisa. Hii imechangiwa zaidi na mvua nyingi zilizonyesha mwaka huu,” amesema.
Moja ya barabara zinazoendelea kutengenezwa katika kijiji cha Kiruweni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Omben Daniel
Tarimo amesema Aprili walivyokwenda kijijini huko, barabara zilikuwa hazipitiki. Kupitia uongozi wa kanisa, wananchi wa eneo hili walijichangisha na kuwashirikisha Wana-Kiruweni wanaoishi maeneo mbalimbali nchini. “Tukashirikishana changamoto hiyo na hivyo tukakubaliana kuchangishana, ili kufungua barabara zote za kijiji hiki ambazo mtandao wake ni kilometa 72,” amesema Tarimo.
Amesema asilimia kubwa ya wakazi wa kijiji hicho ni wakulima, wanahitaji mazao yao yasafirishwe kupeleka sokoni, hali iliyowafanya wengi kuyabeba kichwani kufikia soko kutokana na ubovu wa barabara.
Amesema kutokana na Serikali kukabiliwa na mambo mengi, anatoa wito kwa wananchi katika maeneo mbalimbali kuanza kuchukua hatua ya kutatua changamoto zinazowakabili watu waishio vijijini.
“Tusisubiri kila kitu kifanywe na Serikali. Pale wanapoweza kufanya waunganishe nguvu kama jamii na kufanya jambo, wajitokeze na kufanya. Watu wanapotoka vijijini na kwenda mijini, wakifanikiwa wasisahau nyumbani. Warudi nyumbani kuboresha mazingira ya kwao,” amesisitiza Tarimo.
Shicha Mmbando, mkazi wa kijiji hicho, amesema wameamua kutoa sehemu ya mashamba yao na nguvu kazi, ili kuhakikisha miundombinu ya barabara inapitika kwa urahisi wakati wote wa mvua na kiangazi.
"Barabara zilikuwa ni changamoto. Tunatembea zaidi ya kilometa 10 na mizigo kichwani tukitoa mazao shambani maeneo ya Riata na Holili. Tunapeleka mizigo kichwani kwa sababu magari hayawezi kupita, tunashukuru zikikamilika sasa maisha yatakuwa rahisi," amesema.
Ujinga ni nini?Ni ya kufikirika kwa Taifa lenye wajinga kama wewe, unazania ni kweli pesa hazipo? Narudia tena tuendelee na uzezeta make ni mtaji
Mtu akisha ishi masaki, akili hubadilika, (chamecha mbee)Kimei amekuwa tofauti na matarajio ya wengi. Mwaka 2025 akae pembeni, asisubiri kushindwa kwenye box la kura
I agree that the government isn't doing much, if anything, to help our communities/townspeople must stop to pay taxes and use all that money to buils their own roads.
Nimekuuliza Kodi zinaenda wapi? Mbona Serijali isiyo kuwa na pesa tunaona kwa macho ni inavyo ishi kwa anasa?Ujinga ni nini?
Kwamba serikal kuacha kujenga reli kunakuzuia kusafirisha mazao yako...? Au ujinga ni kutafuta njia mbadala?
You are so irrelevant
Safi sana na wanafuata nyayo za Mwanza, tena Mwanza wanazijenga kwa kiwango cha mae. Barabra wanazojenga wananchi huko zinaubora kuliko za tarura.
Wachaga walikuwa wamelala, ni heri sasa wanaanza kuamka. Utakuta mkuu wa Mkoa huko siyo mchaga, kawazindua.
Your point of Kodi and all those are valid,Nimekuuliza Kodi zinaenda wapi? Mbona Serijali isiyo kuwa na pesa tunaona kwa macho ni inavyo ishi kwa anasa?
Kuna siku kwenye hio Barabara utaenda msafara wa V8 kama 30 kwenda kuitazama na kuwapongeza wilio jitolea.
Mama yeye anakopa Kwa ajili ya matumbo ya Wahuni