Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Wanabodi,Mambo yamekuwa mambo

Leo yule gwiji wa sheria za katiba ametangaza nia kugombea ubunge Kilosa

Amezaliwa kilosa na kukulia kilosa,CCM ina wenyewe

Wewe uliyepangwa kugombea kilosa jiandae kukatwa jina
Kibajaji kapona
 
Nakuunga Mkono kutoka Dar es salaam,bravo!
 
Kama Kabudi anasema kuwa yeye ni kijana wao, sijui hao wazee watakuwaje!! Unafiki na uwongo huonekana tangu mwanzo.

Babu anasema ni kijana. Makundi ya umri kwa mujibu wa Ka uri:

uzee umri wa miaka 80 kwenda juu Ujana 60 - 79
Utoto 40 - 59
Watoto wachanga 20 - 39
Mimba siku 1 - miaka 19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Wateule wa Mwenye kigoda tu ndiyo watakaopenya, wenzangu mie wala hakuna haya ya kujihangaisha - hela kidogo ulizonazo weka benki zitakusaidia baadaye.
 
Huyu takataka aliyeokotwa jalalani (Alisema yeye mwenyewe) wa kazi gani?
 
Sasa huyu Mzee anavyojiita Kijana anataka sisi Tuitwe Watoto ama?

Hii siyo fair kabisa, kila mtu ajitambulishe kwa Umri wake bana..

Angesema tu "Mimi ni Mzee wenu kabisa"
 
Baada huyu domo kaya kuropoka sana kuhusu CHADEMA chama kilicho mpa exposure na juzi kurudi Ccm akidhani ata simama tena Kilosa kwa tiketi ya Ccm sasa mwana Diplomasia na nguli wa sheria kipenzi cha mzee baba ametangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la Kilosa. Mh. Kabudi kwa vyovyote vile lazima Ccm watampa bendera kuipeperusha. Sasa domo kaya atafute kazi kufagia ofisi.
Ndio maana wahenga walisema uwe na maneno ya akiba mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…