Wananchi wa kijiji cha Kimamba wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.
Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe.
Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema...
Mimi narudia tena kusema kuwa mkoa wa kimkakati wa maendeleo ni Morogoro, hata Baba wa Taifa aliliona hilo na sasa hivi tuna kiongozi anayetaka mabadiliko
Mimi ni kijana wenu, mzaliwa wa hapa na niwaambie kuwa mkinihitaji kuwatumikia niko tayari
Chanzo: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOT
Siiingilii kamati kuu ya CCM kwani kikatiba ya chama chetu ina uwezo wa kupitisha ama kutopitisha jina la mtia Nia wa ubunge.
Linapotuama jina la mtu Kama Prof.Kabudi na CREDENTIALS na POTENTIALS zote alizonazo basi ninaamini NI kazi ngumu Sana kuliacha kando jina lake.
Mimi si mwananchi wa Kilosa ila ninaunga mkono mh.Prof P.A.M.Kabudi atie nia na achukue fomu ya kuutaka ubunge wa Kilosa,mwenyezi Mungu amtangulie aaamin aaamin.