Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Mbona alitangaza siku akisoma bajeti, na ndani ya siku chache mbunge wa Buhigwa anayejiita Obama, akajibu kwa uyonge bungeni kuwa Buhigwa bado wanaimani naye.
Sikua nimejua kama alishatangaza nia mkuu.
 
Kabudi baada ya kuzaliwa na kusoma, akatokomea jalalani sasa anarudi akitaka kuwa Mbunge Kilosa hawajui wakaguru na wasagara sijui...

Kila la heri!

Everyday is Saturday... 😎
 
Kumbe kampeni zimeanza!!
Ingelikuwa ni vile vyama vilivyozuiwa kufanya siasa... intelijensia ingehusiswa! Ukilichunguza hili dhahiri linaonesha kuna mkakati wa uchokozi wa uvumilivu na utulivu wa kisiasa.

Yaweza kuonekana ni furaha kwa baadhi ya watu lakini kuna mafundo miongoni mwa wengine...

Maendeleo hayana vyama...

Hii ndio "domokrasia" yetuu...
 
Kabudi baada ya kuzaliwa na kusoma, akatokomea jalalani sasa anarudi akitaka kuwa Mbunge Kilosa.....hawajui wakaguru na wasagara sijui...

Kila la heri!

Everyday is Saturday... 😎
Hahaha anachukulia faida kuwa ndugu zake upande wa mama yake wapo kijiji cha Kidete kilometa 7 kutoka Dumila kuelekea Kilosa , alisoma Kidete - Berega kabla baba yake kuhamia Mvumi, in short wazee wa zamani wanamfahamu vizuri.
 
Hahaha anachukulia faida kuwa ndugu zake upande wa mama yake wapo kijiji cha Kidete kilometa 7 kutoka Dumila kuelekea Kilosa , alisoma Kidete - Berega kabla baba yake kuhamia Mvumi, in short wazee wa zamani wanamfahamu vizuri.

Hawa watu wa huko nawafahamu, Dumila, Kidete, Msowero, Mvumi, Ludewa, Ilonga huko ndiko kulikozaliwa utapeli, fitina na undumilakuwili..

Everyday is Saturday... 😎
 
johnthebaptist,

Kuzaliwa na kusoma siyo sababu, kabudi ni gogo kwao Dodoma.
Aliyekuwa Mbunge wa Ukonga ni Mwita Waitara ni Mkurya aliyezaliwa Tarime, akaja Kitunda kwa ndugu zake kurudia shule darasa la saba hatimaye akafaulu na kujiunga kidato cha kwanza Azania Boyz Old School akiwa mbabu, sembuse Kabudi aliyezaliwa Kimamba na kusomea Kimamba?
 
Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
Tanzania kuna kijiji ambacho siyo ya Kifala? Halafu Kimamba siyo Makao Makuu ya Wilaya ujue. Ni kijiji na makao makuu ya Tarafa. Lakini pako vizuri sana japo hakijafanyiwa mipango miji.
 
Jana kwny Tv nilimuona Waziri wa Fedha Philip akikagua Dispensary huko kwao kigoma jimbo linaitwa buhigwa(kama sijakosea) nikajua tayari ndio nia imeshatangazwa hapo.
linaitwa BUHIGWE. Anastahili kupewa lile jimbo.
 
Kwahiyo hao Wananchi wa huko Kimamba walikuwa wanasubiri hadi Rais Magufuli apite huko ndiyo waseme haya je, kwa mfano asingepitia huko?
 
Yani Morogoro Ile inatakiwa iamke,mi nimechoka maeneo Yale na vijiji jirani Mara kadhaa.Imagine kukosa Mjini Hakuna lami mpaka Sasa,imeishia Rudewa pale,sijajua labda miaka hii miwili Kama wameifikisha like Mjini.
kilosa.ni moja ya wilaya za zamani Sana hapa nchini na zenye sifa kubwa,lakini ziko nyuma Sana kwa sababu ya kukosa wawakilishi imara
Mhe. Rais jana kaweka jiwe la Msingi kumalizia kipande kilichobaki kufika Kilosa mjini.
 
Mtujuze wadau ,inawezekanaje mtu akazaliwa sehemu mbili tofauti?Mara Kilimatinde Singida Mara paaah Kilosa Kichangani,Mara anandugu pale Magubike,au MTU anaweza zaliwa ukubwani?

Biography inaonyesha amezaliwa Kilimatinde na kusoma Herega Kilosa japokuwa shule inaitwa Mgugu.Wanasiasa mnatuvuruga...#uchaguzi 2020 una vihoja#

images%5B1%5D%5B2%5D.jpeg
 
Back
Top Bottom