Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kijana kwa sababu Ana NGUVU nyingi na jasiri mno...Kabudi ni kijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana kwa sababu Ana NGUVU nyingi na jasiri mno...Kabudi ni kijana?
Sikua nimejua kama alishatangaza nia mkuu.Mbona alitangaza siku akisoma bajeti, na ndani ya siku chache mbunge wa Buhigwa anayejiita Obama, akajibu kwa uyonge bungeni kuwa Buhigwa bado wanaimani naye.
Matoporo hao...Kwahiyo na Mnyika au Mdee wangeenda Moshi. Hapa Dar agombee Kingwendu na wenzake.
Shit
Hata peponi tutafufuliwa tukiwa VIJANA..."Mimi kijana wenu"
Kwenye kampeni hata mzee atataka kujiita kijana, very funny!
Kwani jiwe kwao wapi? Mbona watanzania walimchagua
Ingelikuwa ni vile vyama vilivyozuiwa kufanya siasa... intelijensia ingehusiswa! Ukilichunguza hili dhahiri linaonesha kuna mkakati wa uchokozi wa uvumilivu na utulivu wa kisiasa.Kumbe kampeni zimeanza!!
Mama yake ni kabila la Morogoro (Mkaguru) baba yake ndio mgogo kwa hiyo bado ana nafasi nzuri ya kugombea
Hahaha anachukulia faida kuwa ndugu zake upande wa mama yake wapo kijiji cha Kidete kilometa 7 kutoka Dumila kuelekea Kilosa , alisoma Kidete - Berega kabla baba yake kuhamia Mvumi, in short wazee wa zamani wanamfahamu vizuri.Kabudi baada ya kuzaliwa na kusoma, akatokomea jalalani sasa anarudi akitaka kuwa Mbunge Kilosa.....hawajui wakaguru na wasagara sijui...
Kila la heri!
Everyday is Saturday... 😎
Hahaha anachukulia faida kuwa ndugu zake upande wa mama yake wapo kijiji cha Kidete kilometa 7 kutoka Dumila kuelekea Kilosa , alisoma Kidete - Berega kabla baba yake kuhamia Mvumi, in short wazee wa zamani wanamfahamu vizuri.
Aliyekuwa Mbunge wa Ukonga ni Mwita Waitara ni Mkurya aliyezaliwa Tarime, akaja Kitunda kwa ndugu zake kurudia shule darasa la saba hatimaye akafaulu na kujiunga kidato cha kwanza Azania Boyz Old School akiwa mbabu, sembuse Kabudi aliyezaliwa Kimamba na kusomea Kimamba?
Sababu ni ipi tena wewe unaitaka wakati kazaliwa Kilosa, Elimu ya Msingi Kasomea Kilosa na Sekondari kasomea Mzumbe, Mvomero. Akiwa mgogo ndo hatakiwi kwa Mbunge wa Kilosa?
Tanzania kuna kijiji ambacho siyo ya Kifala? Halafu Kimamba siyo Makao Makuu ya Wilaya ujue. Ni kijiji na makao makuu ya Tarafa. Lakini pako vizuri sana japo hakijafanyiwa mipango miji.Kumbe kabudi kwao kimamba,Kimamba ni moja ya eneo la kifala Sana.Lina jina kubwa lakini ukifika utashangaa.Halafu mbunge wa maeneo Yale nadhani ni mwarabu.
linaitwa BUHIGWE. Anastahili kupewa lile jimbo.Jana kwny Tv nilimuona Waziri wa Fedha Philip akikagua Dispensary huko kwao kigoma jimbo linaitwa buhigwa(kama sijakosea) nikajua tayari ndio nia imeshatangazwa hapo.
Mhe. Rais jana kaweka jiwe la Msingi kumalizia kipande kilichobaki kufika Kilosa mjini.Yani Morogoro Ile inatakiwa iamke,mi nimechoka maeneo Yale na vijiji jirani Mara kadhaa.Imagine kukosa Mjini Hakuna lami mpaka Sasa,imeishia Rudewa pale,sijajua labda miaka hii miwili Kama wameifikisha like Mjini.
kilosa.ni moja ya wilaya za zamani Sana hapa nchini na zenye sifa kubwa,lakini ziko nyuma Sana kwa sababu ya kukosa wawakilishi imara
HahahaMwanasiasa akikwambia hivi sasa ni saa nne usiku, toka nje ukahakikishe....