Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Hilo ni dongo kwa boss wakeNaona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi.
Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni dongo kwa boss wakeNaona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi.
Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
Mimi nakosa tu kipaza sauti,watu wa aina ya speaker wa bunge la awamu hii wapo wengi sana hawapaswi hata kupata kura za kuomba kuteuliwa ili wawe wagombea.Kudadeeeeekiiiii hili liwe ni fundisho kwa Ndugai kuwa Mtanzania wa sasa siyo mbumbumbu wa miaka ya 60
KWA KURA ZA WANANCHI HATOSHINDA ILA KWA UBABE WA POLISI NA MA DED ATATANGAZWA HATA JIWE(MEKO) ANAJUA KUA HAKUSHINDA 2015 ILA ALIPITISHWA. Keep it in your mind, HAO NDO WANANCHIUna maanisha ndugai hatashinda?
Vumbi tupuNdungai mpaka sasa keshashinda tano bila. Jimbo la Hai mbowe awezirudi bungeni.watu wa hai wamechosnwa na utendaji mbovu wa Mbowe.
Alijisahau sana kujiweka bize kuwakamia wapinzani bungeni. Hata hivyo amefanya kazi aliyotumwa na atatetewa kwa mbereko ya bwana mkubwa!Na bado !
hii ya lini?
Leo Kaka Jiwe alijipitisha kule Jimboni kwa mzee wa "'Nina cheti Milembe" akakutana na za uso...hakuna kitu kafanya jamaa asisee....anajua kuchapa watu tu vibokohii ya lini?
Shindwa na ulegee,kwa hiyo tunapoteza fedha kufanya uchaguzi?Mbona mnaibomoa hii nchi kama vile mnahamia kwingine?Mnawaona Watanzania ni wajinga?Watake wasitake Ndungai ndio mbunge wao, hakuna uchaguzi Tanzania. Tume IPI Mikononi kwa meko
Leo Kaka Jiwe alijipitisha kule Jimboni kwa mzee wa "'Nina cheti Milembe" akakutana na za uso...hakuna kitu kafanya jamaa asisee....anajua kuchapa watu tu viboko
Unadhani zile bakora alizotembeza 2015 zilikuwa mchezo hata wewe ungeaachia tu Jimbo unapigwa wewe arafu unashtakiwa wewe polisi kwa kosa la kusababisha mtu akakucharaza bakora.Hizi habari mlizileta 2015 na mpaka sasa ni speaker nawalima kama maharage .endeleeni na upuuzi wenu