Wakafanyia uhuni jiwe akabaki kusema tu 'sitamtuma kwa sababu yeye ni spika' [emoji38][emoji38][emoji38]Wapo vizuri kwenye mambo ya kihuni tu
Kumbe Chadema bado ipo nilifikiri mlishaiua mtapata taabu sana.Mkuu Chadema hawashindwi kitu!
Yaani wanalazimisha mambo. Maana hali ni mbaya.Clip zilipendwa
Fitina zote za uongo. Ni kwa sababu Ndugai amekataa kuwafukuza wabunge walioachishwa uanachama kihuni na Chadema. Mnaweweseka.G Sam,
Wagogo jasiri tunaowafahamu wanaanza kuamka hawataki aibu ya Mbunge wao kupokea maagizo toka juu kama kisaragosi. Hao ndo wafuasi wa Mtemi Mazengo ambaye hata wakoloni walimheshimu na kumuenzi. Ndugai ahamie Usukumani labda huko akiomba ubunge atapata lakini Kongwa hata kwa hengo hatapata. Bloody weakling, serves him right!
Kusadikika nini maana yake? Hisia tu hakuna uhakika juu ya hilo.Inasadikika Ndugai bila kubebwa hapo Kongwa kura za maoni hatoboi.
Mtu anapotosha mambo kama yupo saluni anasukwa.Jenga hoja kwa kujenga ukweli sio kupotosha
Leo Rais Magufuli amefanya ziara wapi?
Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaaKwani hadi anampiga mtu fimbo ya kichwani si alikua anapumulia mashine,lakini kwa kudra za----akapita na kesi ikaisha
Ni muflisi wa hojaYaani wanalazimisha mambo. Maana hali ni mbaya.
****** alikuwa kazaliwa mwaka 47!!??G Sam,
Mbona ya mwaka 47?
Simple Mathematics.Ndugai hatakiwi kurudi Bungeni.Watu jamii ya Ndugai hawatakiwi.Atafyekwa ndani ya CCMUna maanisha ndugai hatashinda?