Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Hao watu kweli wameharibu image ya CCM kama inavyojinasbu inapendwa kila kona ya nchi.
 
G Sam,

Kimsingi Ndugai hakubaliki hata na familia yake isipokuwa kapewa kazi ya kuwashughulikia Chadema hivyo atarudishwa na NEC atapita bila kupingwa, tume ingekuwa huru hata yeye asingegombea maana hata mke wake hawezi kumpa kura.
 
G Sam,

Wagogo jasiri tunaowafahamu wanaanza kuamka hawataki aibu ya Mbunge wao kupokea maagizo toka juu kama kisaragosi. Hao ndo wafuasi wa Mtemi Mazengo ambaye hata wakoloni walimheshimu na kumuenzi. Ndugai ahamie Usukumani labda huko akiomba ubunge atapata lakini Kongwa hata kwa hengo hatapata. Bloody weakling, serves him right!
Fitina zote za uongo. Ni kwa sababu Ndugai amekataa kuwafukuza wabunge walioachishwa uanachama kihuni na Chadema. Mnaweweseka.
 
Kwani hadi anampiga mtu fimbo ya kichwani si alikua anapumulia mashine,lakini kwa kudra za----akapita na kesi ikaisha
Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaa
 
Hii mizee ingejua CCM wenye akili hawapendi mnavyoendesha nchi...vyama vingi sio vita...Wagogo oyeeee
 
Clip ya Zamani enzi Geita Ni wilaya iliyopo Mkoa wa Mwanza
 
Back
Top Bottom