Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,601 Reaction score 2,354 May 29, 2020 #141 G Sam said: Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli. Click to expand... Kwel malipo ni hapa hapa dunian pamoja na kuionea chadema lakn bado watu jimbon kwake hawamkubal
G Sam said: Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli. Click to expand... Kwel malipo ni hapa hapa dunian pamoja na kuionea chadema lakn bado watu jimbon kwake hawamkubal
M mafarisayoo JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,190 Reaction score 830 May 29, 2020 #142 Waulizeni wenyeji wa Kongwa huenda wana MAJAWABU sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
A astranaut JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 1,276 Reaction score 1,024 May 29, 2020 #143 Qualbalasad said: Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaa Click to expand... Halafu utawasikia bungeni kila siku wabunge wa ccm wakimsifia tu na kumwombea eti wananchi wa kongwa wampitishe tena bila kupingwa ili aje kua spika tena kwa mara nyingine
Qualbalasad said: Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaa Click to expand... Halafu utawasikia bungeni kila siku wabunge wa ccm wakimsifia tu na kumwombea eti wananchi wa kongwa wampitishe tena bila kupingwa ili aje kua spika tena kwa mara nyingine
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Feb 24, 2021 #144 Mbunge mwingine wa upinzani aliyechelewesha maendeleo huyu hapa. Wanafiki watu wabaya sana!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 24, 2021 #145 BAK said: Mbunge mwingine wa upinzani aliyechelewesha maendeleo huyu hapa. Wanafiki watu wabaya sana! Click to expand... Jamani mnapofukua nyuzi za watu ambao hawaonekani mitaani mnatustua sana !
BAK said: Mbunge mwingine wa upinzani aliyechelewesha maendeleo huyu hapa. Wanafiki watu wabaya sana! Click to expand... Jamani mnapofukua nyuzi za watu ambao hawaonekani mitaani mnatustua sana !
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Feb 24, 2021 #146 Nimekuelewa Mkuu na hii hali Inatisha sana. Tuombe Mwenyezi Mungu na tujikinge Mkuu. Erythrocyte said: Jamani mnapofukua nyuzi za watu ambao hawaonekani mitaani mnatustua sana ! Click to expand...
Nimekuelewa Mkuu na hii hali Inatisha sana. Tuombe Mwenyezi Mungu na tujikinge Mkuu. Erythrocyte said: Jamani mnapofukua nyuzi za watu ambao hawaonekani mitaani mnatustua sana ! Click to expand...