Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi.

Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
Kwel malipo ni hapa hapa dunian pamoja na kuionea chadema lakn bado watu jimbon kwake hawamkubal
 
Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaa
Halafu utawasikia bungeni kila siku wabunge wa ccm wakimsifia tu na kumwombea eti wananchi wa kongwa wampitishe tena bila kupingwa ili aje kua spika tena kwa mara nyingine
 
Mbunge mwingine wa upinzani aliyechelewesha maendeleo huyu hapa. Wanafiki watu wabaya sana!
 
Back
Top Bottom