johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wasiwasi wa nini?!
Mpare safari hii unaenda kula makande kwa nauli ya elfu kumi na sita tu!Inatumia muda gani kwanza
Hahaaa ccm oyewhMpare safari hii unaenda kula makande kwa nauli ya elfu kumi na sita tu!
Magufuli anawapenda sana wa kaskazini!
Nasikia nafasi zimejaa mapaka mwezi wa tatu mwakani..dah[emoji577][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajipendekeza tangu dada yako apate basha mchagga basi. Kazi kusifia sifia wachagga humu. Mchagga ashangilie treni ya 1906? Uliona wapi? Mchagga wa kweli anawasha mashine Dar - Moshi speed 120.Mm mchaga, naishi moshi, wengi watu wa moshi tumeifurahia sana, itarahisisha sana biashara. Mkajipange.
Basi ni mchaga usiye na pesaMm mchaga, naishi moshi, wengi watu wa moshi tumeifurahia sana, itarahisisha sana biashara. Mkajipange.
Mimi ni mchaga bro, wa Marangu namkubali sana JPM kuliko huyu kaka yangu muhuni muhuni tu maendeleo hayana chama wahuni wanatuchafua.Hakuna mchaga analiye na lafudhi uliyoiandika hapa, tena uache upang'ang'a.
Acha uzwazwa kwa hiyo wachaga wore wanamiliki magari au wote wanamudu gharama za kutumia usafiri binafsi?Hakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.
Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...fyuuuuuuuu....kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.
Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.