Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Ngoja tuone kama abiria watakosekana halafu ndio uje hapa na uchambuzi wako uchwara ukiendekeza chuki binafsi za wavuta ganja zikutawale.

Bro mtapata kadhaa

Na wengi wataishia Tanga or somewhere!

Ila mabasi yatajaa to the maximum!

Hakuna basi litakosa wateja!

Mark my words!

Plus,fvck all of yall minions and mawe included!

If yall mad,svck my dick,goddamnit!
 
Hao watakuwa Wasambaa wa Hedaru. Mchagga au Mpare hawezi kushobokea treni ya mwaka 1906. Wenye ushamba wa hivyo ni Wasukuma tu wanaopenda ile 3rd class ya Mwanza Dsm ambako wanajazana kama ng'ombe
Wewe ujanja wako umeufikisha mji wenu wap
 
Mpare safari hii unaenda kula makande kwa nauli ya elfu kumi na sita tu!
Magufuli anawapenda sana wa kaskazini!
piga hesabu vizuri...ni 16000x2 yaani kwenda na kurudi halafu usisahau nauli ya daladala au uber hadi stesheni
 
ila kiukweli ni hatua kubwa sana ya kupongezwa, imagine angekuja kiongozi ambaye hana mpango nayo ilikua inaelekea kufa, licha ya kupunguza makali ya nauli kwa abiria pia itasaidia sana kudumisha barabara zetu...viva
 
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.

Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.

Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.

Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Habari hii ni yakutunga, iweje mkazi wa Moshi aseme sasa anauhakika wa kwenda Moshi (ipi!) kula Krisimasi. Habari hii ingetoka Dar ingeeleweka bila shaka hapo wakazi hao hawajawahi kufanya mkutano wa kutoa shukurani.
 
Hata ukikaa kimya wakati mwingine tutajua una HEKIMA japo ni zero brain, kuliko kuongea takataka na kutaja kabila la mtu.
Non sense.
Hapo wewe ndiyo umeongea busara gani? Hebu soma halafu utafakari kama unabusara kuliko mimi.
 
Hapana zipo ila mpaka uwahi sana asubuhi watu wameanza kukata kabla ya tren kuzinduliwa
 
Habari hii ni yakutunga, iweje mkazi wa Moshi aseme sasa anauhakika wa kwenda Moshi (ipi!) kula Krisimasi. Habari hii ingetoka Dar ingeeleweka bila shaka hapo wakazi hao hawajawahi kufanya mkutano wa kutoa shukurani.
Polepole kaandamana na wanakilimanjaro kuwatia hamasa........unawekewa source unaendelea kubisha wewe lazima utakuwa mrombo!
 
Wachaga wakumbushwe tu hata mbege ni ruksa kubeba kwenye treni, wapare waelezwe wawe wanaenda bafeti kula sio wakalie ubahiri njaa iwauwe humo kwenye treni
Huu uzi bana[emoji23] mnapeana za uso
 
hakika ni hatua kubwa sana huhitaji ub9ishi wa kipinzani kupingeza hatua hii kama wewe ni mpenda maendeleo ya dhati, naamini ni chachu pia ya kuleta trni ya kasi nyakati zaijazo maana kupanga ni kuchagua
 
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.

Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.

Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.

Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Unanishanga na kunisikitisha unaposema ccm ndio imefanikisha hayo kwa wenye afya ya akili twajua hela iliyotumika hapo ni kodi zetu haijalishi ni cuf ,ccm,cdm n.k ukiingiza mambo ya uchama kwenye swala linalogusa kila mmoja wetu kwangu mimi naona ni ufinyu wa fikra na umimi
 
Nasikia nafasi zimejaa mapaka mwezi wa tatu mwakani..dah[emoji577][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuharibu soko wewe ukisikia uchawi ndio huu
 
Unanishanga na kunisikitisha unaposema ccm ndio imefanikisha hayo kwa wenye afya ya akili twajua hela iliyotumika hapo ni kodi zetu haijalishi ni cuf ,ccm,cdm n.k ukiingiza mambo ya uchama kwenye swala linalogusa kila mmoja wetu kwangu mimi naona ni ufinyu wa fikra na umimi
Wahi tiketi yako bwashee....... Ngonjera hazina tija!
 
Hiyo treni iliyofufuliwa kwa njia hiyo itakufa soon maana sio kwa ubora wa barabara na mabasi yanayoenda mikoa husika.
 
Back
Top Bottom