ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Unifanyie effort mtumishi, hallelujah![emoji39][emoji39][emoji39][emoji28][emoji28][emoji28]uje tufanye Effort![emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unifanyie effort mtumishi, hallelujah![emoji39][emoji39][emoji39][emoji28][emoji28][emoji28]uje tufanye Effort![emoji39]
Nauli ya basi kiasi gani bwashee?!Hiyo treni iliyofufuliwa kwa njia hiyo itakufa soon maana sio kwa ubora wa barabara na mabasi yanayoenda mikoa husika.
Ninahisi kama kuna kundi la watu wanataka kulazimisha uadui wa haya makabila kisa ni siasa yaani iwe kama ilivo kenya halafu baadaye wanasiasa kutoka makabila haya wawe wanatafuta uungwaji mkono wa kikanda ,kikabila hii ni njia rahisi iliyosalia kuelekea mgawanyiko mkuu hatimaye ikibidi vita kati yetu huwa sioini sababu mtu kuingiza ukabila sehemu ambapo hauhitajiki na ninahisi wengi wala si wachaga au wachaga wako under attack indirectly ili waonekane ni watu wenye ukabila yaani mtu anjifanya mchaga kutukana kabila jingine ni wazi watu wa kabila jingine hata wasipojibu wanakuwa wanawachukulia tofautiMkuu unaweza kukosoa bila kuingiza makabila ya watu, umoja wetu wa kitaifa upo hatarini, usichochee chuki tafadhali
NI sawa lakini tutaumia wadogo wakubwa wao hupatana mezani wakapeana mkono wakakenua meno wakiita handshake wakanywa milkshake pamoja yakaisha, maumivu na kupoteza yanabaki kwetu.Rais wako ndo kayaanzisha haua yote..hapa tunafata nyayo zake tu mkuu
NI sawa lakini tutaumia wadogo wakubwa wao hupatana mezani wakapeana mkono wakakenua meno wakiita handshake wakanywa milkshake pamoja yakaisha, maumivu na kupoteza yanabaki kwetu.
Vipi kama ndio misheni yake ndio hii, hapo si ndio tunamuunga mkono aifanikishe au?
Wewe hujitambuiPesa IPO hadi ya luxury mzee baba, tena ni self made money, to clarify. Bakini hapo na ufara wenu.
Mzee
Sasa siruhusiwi kumchukia mtu yeyote hapa duniani?
Unaempenda wewe si lazima wengine wampende!
Unanichekesha sana unapo grade watu eti wapo grade ya chini sababu tu wanamchukia mtu ambae wewe unampenda!
Usilete theocracy hapa!
Naruhusiwa kumpenda au kumchukia yeyeote hapa duniani kama wewe ulivyo na uhuru huo!
Kwahiyo fvck what’chu think!
Majibu yako yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
YATOSHA.
Kwani hapa kuna uchaguzi?hadi useme njia nyeupe!ingekuwa hivyo hii hofu imetoka wapi ya mazuri yote yaliyofanywa kwa miaka 4!!serikali za mitaa tu watu wanapanua goli?!!2020 njia nyeupe.
Nilijua tuu lazima nyie wana Kilimanjaro mkuwe na wasiwasi!Hata mimi ni Mkilimanjaro na nina wasiwasi na huyo msemaji uchwara
Kila kitu shukurani kwa Magufuli. Kawa Mungu mtu.Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.
Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.
Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Nilijua tuu lazima nyie wana Kilimanjaro mkuwe na wasiwasi!
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse trainHakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.
Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.
Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse trainHakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.
Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.
Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Ndugu, nadhani Umekuwa mbinafsi sana wa Mawazo; Ni imani yangu katikika jamii zetu watu tunatofautiana Mtazamo, uchumi, Maarifa, Uelewa na vitu vingine kedekede.Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???