Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Na pia watu Moshi they need luxurious and fastest safaris no matter is how much...,
Mkuu nimesikiliza mawazo yako; Ila hutaki tu kukubali kwamba umekuwa mbinafsi; Wewe una mawazo ya jumla kuhusu watu wa moshi, of which yanaweza yasiwe ya kweli.
Miaka ya nyuma Kidogo, nikiwa Tz, nilienda Sanya juu, wakati narudi kuna mzee alipanda basi pale Sango(ni between Moshi na Himo, Sijui kama nimepatia jina) , ila alikuwa na Ndugu yake mwenye jinsi ya KE wanaenda Dar, alipotoa nauli konda akamwambia Haitoshi inabidi aongeze, mzee alilalamika akiomba asaidiwe; Baadae abiria mmoja akamwambia Konda yeye atamuongezea.(Sitaki kujifunga kwenye mawazo kwamba mzee alikuwa Mchagg, lakini Inawezekana hivyo, kam ni kweli je yeye unahisi asingeweza kufanya option ya Treni kama ishu ni Fedha?)

Kwenye Mada kama hizi, Kifalsafa huwa tunawaza zaidi ya Upendeleo wa binafsi. Kama ambavyo umesema Treni sio Mara ya Kwanza, Ila haujazuiwa kuwaza zaidi kwamba Mara hii ni tofauti na zilizopita. Unaweza ukawaza kwa style hii kufikiri kwa kina, kufikiri kwa nyuzi 360.
1. Kuna watoto wamezaliwa kipindi ambacho Treni zilikuwa zimeshasitishwa, hivyo wapo wazazi wanaopenda kuwapandisha watoto wao japo waone usafiri wa treni.
2. Kwa mawazo yasio na ubinafsi kupanda Treni/Usafiri wa Umma sio ya Ya daraja fulani la watu, ni suala la option tu.
3. Kuna watu huwa wanaishi jirani na stesheni za Reli, ambapo akipanda basi Inamgharimu au Kuchukua Usafiri mwingine Kumpeleka mpaka nyumbani.
4. Kuna watu wanaufuata kama Usafiri wa Bei Rahisi ( wewe ndio umesimamia sababu hii moja)
5. Wako watu wakubwa kabisa wa ukanda huu, hajawahi kupanda Treni, na anajisikia hamu ya Kupanda japo kidogo tu.
6. Treni inaondoka Jioni, Sina hakika kama siku izi Kwenda moshi kuna Basi za Jioni am not sure, Hivyo mtu anaweza kusafiri usiku na Subuh akawa moshi.

Yaani ndugu yangu sababu ziko nyingi mno za kumfanya mtu afanye option ya Treni ni suala la kuruhusu upeo wako tu, Sijui kwa nini umeamua Kuwa mbinafsi kwa kusimamia Sababu moja tu ya Kipato, kufanya Conclusion kwa Idadi kubwa ya watu.

Mimi nipo Ughaibuni, Nilikuwa nashangaa Workshop Supervisor wangu anakuja na City Bus Daily, Wako wengine wanakuja na Bike, Treni sio kwamba hawana Magari, wanazo private transaport ila hawatumii kwa sababu zao, ambazo mimi sitaki kuwaza mgando kwamba hawana Hela.

Kwenye Jambo lolote unayonafasi ya kuwaza zaidi ya sababu unayohisi; Unayonafasi ya kwenda mbali zaidi Kifikra, pasi na kujifunga kwenye Fikra moja, tena iliyo Hasi.

Asante sana Ndugu yangu,
 
Kwa hiyo unalazimisha tutumie huo usafiri wenu wa kimasikini?
Mkuu Mimi sipo Tz kwa sasa, Ila ubinafsi wa mawazo ya watu wengi ndio umenifanya nitoe falsafa hii; na nikiri kwamba sina tatizo na Anayepanda basi, wala anayetumia Usafiri wake private wala anayetumia usafiri wa treni.
ishu yangu ipo kwenye Ubinafsi wa mawazo, Kusema usafiri wa Kimasikini, ni kuwa na mawazo binafsi, kutoruhusu mawazo mengine juu ya wanaoamua kupanda treni/Basi za umma etc; Ni vizuri kuruhusu mind yako iwaze zaidi ya sababu moja kwenye kila kitu, itakusaidia kutokuwa Bias kwenye mawazo; lakini itakusaidia kupunguza Dharau kwa watu wanaokuzunguka, zaidi sana itapandisha Humanity yako. Kwenye kila Kitu unao uwezo ya Kuwaza Hasi au Chanya ni wewe tu, Hii ndio inakwamisha Maisha ya asilimia kubwa ya watu.
Komenti yangu hiyo hapo juu, nimeorodhesha baadhi ya sababu kama ukiamua kuwaza zaidi, utapata zaidi ya hizo.
Shukrani sana Ndugu.
 
Dah....acha ujinga..kama si nauli ila speed na comfort....nenda pale KIA angalia wangapi wanaenda Moshi na wangapi Arusha [emoji2960]

Mkuu una-compea machungwa na maembe sasa!

Usafiri wa ndege ni grade tofauti!

Usafiri wa treni ni more comparable na wa basi na wala sio ndege kabisa!

Tukija kwenye usafiri mbili hizo,hakuna mtu anaenda kupakia treni afike kesho Moshi!

Huo ndio ukweli mchungu!

Purchasing power ya Mtanzania haipo kwenye ndege mzee,ipo kwenye mabasi !

Kwenye ndege wanaenda wachache upper middle class!

Hakuna mtu anaenda Moshi au Arusha alipe 15,000/= afike kesho,huo ni upumbavu!

Hapakii mtu hata kidogo!
 
hakuna mtu anaenda kupakia treni afike kesho Moshi!
Ninaposema Ubinafsi, ndio kauli kama hii..
Unaposema Hakuna Mtu unamaanisha nini? Ina maana Treni hiyo haikuwa na Mtu kabisa?
Kama ilikuwa na watu, Je una data kamili kwamba waliopanda ni Watu wakabila gani?

Si vizuri kuwa mbinafsi wa mawazo, kwamba mawazo yako unataka yajumuishe watu wa kada zote, Lakini pia ni vyema kuacha mawazo Mgando, Kwamba Kupanda Treni sababu ni moja tu ya Nauli pekee yake, Hiyo kitu si kweli
Kila mtu atapanda Treni kwa sababbu tofauti, na ndio maana Research zikawekwa na Data Analysis, ikifahamika tu kwamba huwezi kufanya mjumuisho kwa mawazo yako binafsi.

Maisha ni Mantiki na sio Muhemko, na ndio maana Kifalsafa sababu ndio inafanya mtu afanye anavyofanya, aamue anavyoamua, aongee anavyoongea etc. kila mtu anafanya kitu kwa sababu zake ambazo yeye anazifahamu; Kuna anayenunua 4wd car ili Apate heshima Mtaani, mwingine ni kwa sababu anaishi mahali korofi kimazingira, mwingine ni kwa sababu anapenda safari, mwingine kwa sababu ameambiwa na mwingine kuwa 4wd ndo gari nzuri, gari ni moja sababu zinazowafanya wamiliki ni tofauti, na sababu ziko nyingi.

Watu mia wanaweza kupanda treni na wakawa na sababu 50 tofauti kabisa, mwengine urahisi, mwengine hamu, mwingine Muda kwa kuwa inaenda jioni,mwingine anapenda kusafiri usiku hivyo kama Treni inaondoka jioni anaona itamfaa, mwingine kwa kuwa Stesheni ipo jirani na makazi yake etc, yaani sababu ni lukuki kama ukiamua kuachia Fikra zako zifikiri zaidi. Kuja na sababu ya Kuchelewa kufika au kufika kesho yake, Hiyo ni mawazo Mgando, au fikra zisizowaza kwa mantiki.

Ni hivyo tu Ndugu yangu
 
Your talk is cute though!

Mihemko,falsafa,fikra,etc all this is bullshit talk!

Blah blah blah blah

Mimi kusema hapakii mtu sio kwamba itakua na 0 passengers!

Nooo

Namaanisha,I can estimate with informed guess kua idadi ya abiria wa mabasi itakua ni kubwa tofauti na abiria wa hiyo treni gogo!

Ingekua high speed train(bullet train) tungekua tunaongea kitu kingine hapa!

Hakuna mtu mwenye akili timamu apakie treni ya kipumbavu hivyo afike Arusha kesho yake!

Watakuwepo wapumbavu watakao pakia,thats for sure,ila ni idadi ndogo!

Wapumbavu always wapo ndio,kama wewe!

Utakua mpumbavu wa hali ya juu unapakia treni hapa Dar es Salaam saa 12 asubuhi,unafika Arusha usiku wa saa nane au kesho yake saa nne asubuhi!

Ulivyo mpumbavu upo kundi hili!Na mpo sizable amount!

Mimi na wenzangu hapa hatutafanya huo upumbavu kabisa!
 
Mimi na wenzangu hapa hatutafanya huo upumbavu kabisa!
Asante sana Ndugu;
Kwa kauli zako tu, inaonesha huwezi Elewa; Uko ki-argument zaidi na sio Kiuelewa au Kudaka nilichokilenga, Maana nimesema wazi Sababu zinatutofautisha kupanda Treni; Lakini naona mawazo yako yameshikilia tu kwamba Kufchelewa Kufika pekee.

Uwe na amani, Ila naamini Utakuwa Umepata kitu;

Asante ndugu.
 
ila kiukweli ni hatua kubwa sana ya kupongezwa, imagine angekuja kiongozi ambaye hana mpango nayo ilikua inaelekea kufa, licha ya kupunguza makali ya nauli kwa abiria pia itasaidia sana kudumisha barabara zetu...viva
Reli imekufa kwa miaka 25 iliyopita, kuna aluyeathirika? Mabus yapo kibao, December wengine wanakuja na gari zao... Sema another option imeongezeka...
 
Asante sana Ndugu;
Kwa kauli zako tu, inaonesha huwezi Elewa; Uko ki-argument zaidi na sio Kiuelewa au Kudaka nilichokilenga, Maana nimesema wazi Sababu zinatutofautisha kupanda Treni; Lakini naona mawazo yako yameshikilia tu kwamba Kufchelewa Kufika pekee.

Uwe na amani, Ila naamini Utakuwa Umepata kitu;

Asante ndugu.

Ndugu Warioba

Lets cut to the chess!

Nipe sababu hapa duniani Mtanzania masikini kama wewe na mimi utaenda kupakia treni ya 16,000/= unafika Arusha baada ya 24hrs unaacha basi ya 30,000/= linalotumia masaa 12hrs or less kufika Arusha?

Nipe hiyo sababu tuisikie kama hutakua dumbest of the year!

Itaje hiyo sababu tuisikie na watu waisikie hapa tuone!

Mengine unayoongea ni stori tu!

Toa sababu twende mbele!
 
Nipe sababu hapa duniani Mtanzania
Ndugu, tatizo wewe upo tayari na Upande, wa kuwakashifu wanaopanda Treni Huko Tz, Ukiangalia Comment zangu zote sina Shida na yeyote Anayepanda Treni, nayepanda Private car yake, anayepanda Public sina Shida naye kwa sababu Kwenye Safari Kinachoamua Mtu apande anachopanda ni Mantiki( Sababu kwa kilajambo).
Na sababu ziko Nyingi, na muhusika ndio anayejua sababu, ukiamua kufikiri bila mipaka ya ubinafsi, basi utagundua sababu nyingi tu, hizi ni baadhi amabzo nimejaribu kufikiri tu:-

1. Kuna watoto wamezaliwa kipindi ambacho Treni zilikuwa zimeshasitishwa, hivyo wapo wazazi wanaopenda kuwapandisha watoto wao japo waone usafiri wa treni.
2. Kwa mawazo yasio na ubinafsi kupanda Treni/Usafiri wa Umma sio ya Ya daraja fulani la watu, ni suala la option tu.
3. Kuna watu huwa wanaishi jirani na stesheni za Reli, ambapo akipanda basi Inamgharimu au Kuchukua Usafiri mwingine Kumpeleka mpaka nyumbani.
4. Kuna watu wanaufuata kama Usafiri wa Bei Rahisi ( wewe ndio umesimamia sababu hii moja..)
5. Wako watu wakubwa kabisa wa ukanda huu, hajawahi kupanda Treni, na anajisikia hamu ya Kupanda japo kidogo tu.
6. Treni inaondoka Jioni, Sina hakika kama siku izi Kwenda moshi kuna Basi za Jioni am not sure, Hivyo mtu anaweza kusafiri usiku na kesho yake mid-morning akawa moshi.
7. Kuna Mtu hana haraka ya Mahali popote, anahitaji Usafiri ambao Anaweza kuwa flexible,Akatembea Tembea, akaenda Kula Muda anaotaka, Akaenda Washroom Muda anaotaka, Akanywa Bia zake pasi na Kubeba mafurushi, maana Kwenye Treni zetu naamini zina Buffet.

Sasa kwa nini unajifungia na Sababu moja ya kufika mapema tuu? Kwanini huwazi kwa Niaba ya watu ambao hawana haraka ya popote? Sio kila mtu anawahi mara zote, hata kwenye basi, kuna wanaotafuta Luxorious, kuna wanaotafuta speed etc..

Mtu mwenye hekima huwezi Waza upande mmoja tuu, lazima Ujipe nafasi ya Kuwaza zaidi; Usijifungie tu kwamba ufike kesho yake, kwani kuna waliokwambia kwamba kila mtu anawahi.

Kama Huna Takwimu ni Bora ukawa Balanced; ndio maana mimi sina shida na yoyote Anayetumia basi la umma, anayetumia Usafiri wake binafsi wala anayetumia treni.
Sasa wewe unasema Huku hauna Takwimu halisi, ahalafu bado unakuwa bias, Tena kwa Matusi kabisa kwa kuita watu wapumbavu eti "I can estimate with informed guess" Sioni shaka maana hata Student wa Tz, wengi research ni za kuunga unga, wakisubiri kufanya kama ambavyo wewe unafanya eti "estimate with informed guess" Hii Dunia sio ya guess the world is Fact ndugu, ukipinga unakuwa na Valid Sampling ya unachopinga.
Ndio maana wazungu wanatoka Europe wanakuja Huko TZ kufanya research phyisical or Online sio kwamba hawana watu wa kuwapa habari wanatafuta Uhalisia wa habari zao.

Mimi sijakupinga kwamba treni litakuwa na wachache kuliko basi, hilo linawezekana, lakini si kweli kama watu hawatapanda Treni, na watakaopanda kuwa ni wapumbavu hii sio Hekima, kwa mtu aliyemakinika.

Kumbuka No research no Right to Criticize.
 
Mkuu una-compea machungwa na maembe sasa!

Usafiri wa ndege ni grade tofauti!

Usafiri wa treni ni more comparable na wa basi na wala sio ndege kabisa!

Tukija kwenye usafiri mbili hizo,hakuna mtu anaenda kupakia treni afike kesho Moshi!

Huo ndio ukweli mchungu!

Purchasing power ya Mtanzania haipo kwenye ndege mzee,ipo kwenye mabasi !

Kwenye ndege wanaenda wachache upper middle class!

Hakuna mtu anaenda Moshi au Arusha alipe 15,000/= afike kesho,huo ni upumbavu!

Hapakii mtu hata kidogo!
Dah...ndiyo maana mwanzo kabisa nilikuambia uache ujinga .....hata hivyo kama nauli siyo ishu...ishu ni speed na comfortability....na ikiwa wewe mwenyewe hujui raia wanataka wachukue muda gani kwenda Moshi na raha kiasi gani....Basi waache raia wenyewe waamue....[emoji2960]
 
Ninaposema Ubinafsi, ndio kauli kama hii..
Unaposema Hakuna Mtu unamaanisha nini? Ina maana Treni hiyo haikuwa na Mtu kabisa?
Kama ilikuwa na watu, Je una data kamili kwamba waliopanda ni Watu wakabila gani?

Si vizuri kuwa mbinafsi wa mawazo, kwamba mawazo yako unataka yajumuishe watu wa kada zote, Lakini pia ni vyema kuacha mawazo Mgando, Kwamba Kupanda Treni sababu ni moja tu ya Nauli pekee yake, Hiyo kitu si kweli
Kila mtu atapanda Treni kwa sababbu tofauti, na ndio maana Research zikawekwa na Data Analysis, ikifahamika tu kwamba huwezi kufanya mjumuisho kwa mawazo yako binafsi.

Maisha ni Mantiki na sio Muhemko, na ndio maana Kifalsafa sababu ndio inafanya mtu afanye anavyofanya, aamue anavyoamua, aongee anavyoongea etc. kila mtu anafanya kitu kwa sababu zake ambazo yeye anazifahamu; Kuna anayenunua 4wd car ili Apate heshima Mtaani, mwingine ni kwa sababu anaishi mahali korofi kimazingira, mwingine ni kwa sababu anapenda safari, mwingine kwa sababu ameambiwa na mwingine kuwa 4wd ndo gari nzuri, gari ni moja sababu zinazowafanya wamiliki ni tofauti, na sababu ziko nyingi.

Watu mia wanaweza kupanda treni na wakawa na sababu 50 tofauti kabisa, mwengine urahisi, mwengine hamu, mwingine Muda kwa kuwa inaenda jioni,mwingine anapenda kusafiri usiku hivyo kama Treni inaondoka jioni anaona itamfaa, mwingine kwa kuwa Stesheni ipo jirani na makazi yake etc, yaani sababu ni lukuki kama ukiamua kuachia Fikra zako zifikiri zaidi. Kuja na sababu ya Kuchelewa kufika au kufika kesho yake, Hiyo ni mawazo Mgando, au fikra zisizowaza kwa mantiki.

Ni hivyo tu Ndugu yangu
Dah...chifu asipoelewa na hili...basi atakuwa ndiyo wale wanasiasa "Washamba"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi aliyeua safari za treni Dar- Moshi miaka ishirini iliyopita ni nani?!
Mzee Mzee Mwinyi ktk kile kinachoitwa kukaa Makaza Makanda baada ya Vita vya kagera ndipo Rais. Mkapa akawapa wahindi.....
 
Hakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.

Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.

Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Ma bus mnayo panda nayo kumbe ni private car's? Meku acha utoto train ni usafiri kama usafiri mwingine. Wewe ukiwa na gari sio kwamba kila mchaga ana gari, afu punguza jazba jombaa
 
Hapandi mtu, Nani anapanda gogo linafika Moshi baada ya siku 2 au 3? Wachagga sio masikini hivyo!

Hizi train zita prove failure on the arrival! Hapandi mtu nakwambia! Mtu anataka apakie afike Moshi siku hiyo hiyo! Hizo treni zitapakia ndizi na nguruwe kutoka Moshi kuja Dar!

Believe me!
Hapakii mtu mle!
Ni biashara pia
 
wenzetu huko dunian wako kwenye treni za mwendokasi sisi bado tunatumia treni za madizeli
 
Dah...ndiyo maana mwanzo kabisa nilikuambia uache ujinga .....hata hivyo kama nauli siyo ishu...ishu ni speed na comfortability....na ikiwa wewe mwenyewe hujui raia wanataka wachukue muda gani kwenda Moshi na raha kiasi gani....Basi waache raia wenyewe waamue....[emoji2960]

Unafeli!

Nitajie Watanzania 10 tu wanaotaka kwenda Arusha watumie siku 2 njiani?

Nitajie hao nguruwe tuwaone!

Hakuna!

Kama natumia 30,000/= kupata basi 10x confortable more than gogo na half of the time to reach more,who,by any stupid reason will ever use that stupid train?

Kwa kutumia sababu gani hasa!?

Itaje hiyo sababu very mysterious ambayo inapelekea mtu kupakia treni chafu yanye kunuka ikufikishe Moshi baada ya siku mbili upo njiani unapiga miayo kama mbwa?

Itaje hiyo sababu tuione hapa!

Acha blah blah bwana!
 
Ma bus mnayo panda nayo kumbe ni private car's?
Ndugu yangu watu wengi wanaongea Kimihemko tu, pasi na kufata mantiki; Wako wabinafsi wa mawazo yao pekee. Huwezi muelewesha Mtu ambaye hana focus ya Kuelewa, yeye anafocus kubisha tuu bila mantiki, kuna jamaa hapo juu, aliomba sababu nimempa sababu kadhaa tofauti ambazo zinamfanya Mtu afanye option ya treni, yeye ananga'ngania na sababu moja tu ya kuwahi kufika pekee, wakati sio target ya kila mtu, yaan kwa kuwa yeye anawaza kuwahi kila anaposafiri anataka alazimishe watu wote wawe focused kwenye Kuwah. hao ndio watu tulio nao kwenye jamii.
 
Unafeli!

Nitajie Watanzania 10 tu wanaotaka kwenda Arusha watumie siku 2 njiani?

Nitajie hao nguruwe tuwaone!

Hakuna!

Kama natumia 30,000/= kupata basi 10x confortable more than gogo na half of the time to reach more,who,by any stupid reason will ever use that stupid train?

Kwa kutumia sababu gani hasa!?

Itaje hiyo sababu very mysterious ambayo inapelekea mtu kupakia treni chafu yanye kunuka ikufikishe Moshi baada ya siku mbili upo njiani unapiga miayo kama mbwa?

Itaje hiyo sababu tuione hapa!

Acha blah blah bwana!
Dah....Kuna sababu zaidi ya 1000 za kutopanda hiyo treni....vilevile zipo pia zaidi ya 1000 za kukufanya upande treni....inategemea na mahitaji yako....Bado nasisitiza ....Acha ujinga [emoji2960]
 
Back
Top Bottom