Wananchi wa Njonbe waomba wezi, wauwaji walawiti wakikanatwa wapewe mrejesho, matukio yamezidi

Wananchi wa Njonbe waomba wezi, wauwaji walawiti wakikanatwa wapewe mrejesho, matukio yamezidi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Naona wananchi wameanza kuchoka

Wananchi wa njombe wamemwomba rpc husika kama wakikamata wauwaji walawiti wezi wanahitaji feedback

Wananchi wamesema hawaoni msaada kama wanakamatwa na baadae wanapishana na wezi walawiti mtaani wauwaji

Wameomba kama wanavyojionyesha kwenye tv wakipelekwa mahakaman waite pia tv kadhaa wajue wahalifu wanaelekea wapi.

Source: EATV
 
Capital Letter!

To the topic

Wananchi waendelee kuliamini jeshi letu.

Changamoto kidogo ni alarm ya marekebisho machache.

Bado nina imani na jeshi letu
 
Back
Top Bottom