Pre GE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

Pre GE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa wilaya ya Rombo Mwl. Raymond Mwangwala afya yake iweze kuimarika kufuatia maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Hayo yamejiri Hii leo March 4, 2025 katika Mkutano wa Kata, ambapo licha ya Mkuu huyo wa wilaya ya Rombo, afya yake kutoimarika vyema sababu ya maradhi yanayomsumbua ambayo hajaweka wazi, alionyesha Uzalendo kwa kujitokeza kuwasikiliza wananchi wa kata ya Katangara Mrere na kuwasaidia kutatua kero zinazowakabili.

 
Back
Top Bottom