Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.

Source: Aljazeera
 
Iran inatakiwa ijitathmini upya waone kama sera yao ya kufadhili ugaidi bado inaweza kuwasaidia kwani muda unaenda mbio na hauwezi kuwasubiri tena.
 
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.

Source: Aljazeera
Nimeona BBC pia wananchi wamevamia makazi ya rais Assad wakiiba vitu, kuna mmoja kasepa na AC kwa kutumia pikipiki nadhani anaenda kupunguza joto la hekaheka ya kumondoa Assad Damascus 😂😂
 
Nafukiri sio wananchi wa Syria Bali ni dhehebu mojawapo huko Syria.
Maana vita hiyo ni vita ya madhehebu.
 
Duh wametumwa na Vatican hao si bure waislam hawanaga mioyo mibaya namna hiyo

Dini iliyotelemushwa na mola mlezi hawanaga mambo ya kupigana pigana
 
Nimeona aljazeera waasi wameingia ubalozini na kuna mwingine kasimama mbele ya meza ya balozi wa Iran anawasha Fegi😀😀😂😂 nahisi ayatolla huko aliko anasonya tuu...
Tailor_man_Smoking_1.jpg
 
Iran aanze kutia maji utawala wa ayatolla lazima uangushwe ili middle east iwe mahali sana..ingawa bado watachinjana shia na suuni mpaka waishe.
 
Back
Top Bottom