Kiongozi mpya kawaambia Russia wasiogope atashirikana nao yaliyopita si ndwele.Bado kuvamia kambi za jeshi za Russia
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.
Source: Aljazeera
Nimeona BBC pia wananchi wamevamia makazi ya rais Assad wakiiba vitu, kuna mmoja kasepa na AC kwa kutumia pikipiki nadhani anaenda kupunguza joto la hekaheka ya kumondoa Assad Damascus ππBaada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.
Source: Aljazeera