Wananchi wa tabaka la chini wazidi kuonewa na umasikini uliokithiri, huku Viongozi wakiendelea kuishi kihafahari kupitia kodi za walala hoi

kimbiza CCM madarakani, frustration ndogo ndogo na mambo mengine yata ji seti yenyewe……………...
 
Mwizukulu Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] one year at the mosque
 
Tupo pamoja
 
Afadhali leo nimekuona umeandika kitu positive bila kujali mapenzi na mahaba yako kwa chama...... hongera
Utakuwa unasoma posti zangu ukiwa umevuta,

sina chama, but chaguzi mbili za mwisho nilipigia upinzani.

Kua sasa
 
Umaskini wa nchi hii unatisha

Nakumbuka kuna siku nimepanda usafiri wa kaka yangu tunatoka Dar tunaelekea Iringa tupo mikumi njiani watoto wadogo kibao kando ya barabara saa 12 alfajiri wanaenda shule namuuliza kulikoni wanyama pori. Ebu tumbebe akaniambia njia nzima imejaa watoto utabeba wangapi wanambinu zao hao.

Sasa jiulize tuna viongozi wengi tu wametokea kwenye shida hizo. Wewe unakuwaje leo comfortable na shida za ulipotokea.

Yaani wewe utoke kwenye shida halafu kijijini, shida za watu maskini unazijuwa badala ya kuwa champion wa watu maskini unafikiria CCM na familia yako.

How are you comfortable with that; anyway binadamu wapo tofauti

Hila kwa mji kama Dar kuona watoto wa mtaani wadogo; halafu tuna viongozi wenye watoto wa lika hilo awajiulizi watoto wadogo wanalala wapi, wanakula nini, usalama wao ukoje zama za leo it’s just appalling mie ata kula ningeshindew kwa aibu (I don’t joke).

Aiwezekani wewe uone mtoto yatima mdogo usishtushwe kama kiongozi. How is that blinding to you wakati wewe umetoka familia maskini.

Yaaani unapita kabisa unaona mtoto wa miaka 3-5 Samora una habari kioo umefunga unakula kiyoyozi kwa amani.

Mmh
 
Bila kichapo kutembea V8 zikawa hazipandiki hatuwezi heshimiana.😂😂😂 yani kinatakiwa kinuke mwanzo mwisho barabara ziwe hazipitiki ni kipigo tu. Uone kama hawajakaa kamati ya maridhiano
Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma.
 
Bila kichapo kutembea V8 zikawa hazipandiki hatuwezi heshimiana.😂😂😂 yani kinatakiwa kinuke mwanzo mwisho barabara ziwe hazipitiki ni kipigo tu. Uone kama hawajakaa kamati ya maridhiano
Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma, wanaendesha maV8 ikiwa watu hawana maji, chakula, vitu havishikiki wapo tu kama mazuzu.
 
Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma, wanaendesha maV8 ikiwa watu hawana maji, chakula, vitu havishikiki wapo tu kama mazuzu.
Mlishaambiwa kila mtu ale urefu wa kamba Yake,hamkuelewa chief?
 
We ni kiongozi haswa
 
Utafanyaje kazi wakati mazingira hayajawa rafiki?Kwa mfano mm nimelima mazao yangu kwa gharama zangu mwisho was siku serikali inaingilia uuzaji,naona ng'ambo Kuna solo Bora Ila nakataliwa au nakamatwa Sasa hapo tutafanyaje maendeleo.
 
Watu wengi wenye lengo moja, umeongea pointi ya msingi Sana!

Kuangushwa Kwa tawala za kinyonyaji na kifalme Ulaya,

Au American civil war!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…