Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizukulu Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] one year at the mosquewatanzania wenzangu nyinyi ni watu wa ajabu sana...hata juzi nilikuwa nawaambia graduate hakuna mwanasiasa yeyote atakaewaonea huruma....mtu kama mwiguru nchemba akuonee huruma wewe!....hata mama samia ana watu wake na jamaa zake akina Mohammed chongolo ambao yakiwakuta machozi yanamtoka kwa ajili yao sio mimi na wewe....watanzania tuache kulialia ngoma ikiwa ngumu hapa tuhamie sehemu nyingine tukomae mpaka kieleweke......
Tupo pamojaIssue sio elimu yangu ata kama ni duni Lakini naona.
Mimi ningekuwa kiongozi nisingeweza kulala kwa amani kwenye geti la askari wakati mitaa michache na nyumba yangu:
Kuna mama anatandikwa na mumewe
Nipite ferry nione mtoto mdogo sijui analala wapi alawatiwe
Nimuone mtu anaangaika kuuza bidhaa nisitafute mbinu za kuakikisha anapata kula ya uhakika
Nione bidhaa zinapanda niache wakati najua wananchi maskini wanaumia.
Na mambo mengine nisikuongopee mimi kama Kilatha nchi kama hiyo ntapigana mpaka naingia kabulani.
Yaani sitoweza kulala kwa amani kama nipo poa. Na nikisema poa yangu ni hela ya kubadili mboga tu.
Especially kwa watoto wadogo yaani nione mtoto wa mchanga mpaka umri wa miaka 16 analala mtaani mjomba huo ugomvi wake auwezi kuwa mdogo kama nina nafasi; yaani mwili unanisisimuka serious nikifikiria how stupid and vulnerable people are at that age.
Labda mi mwenyewe ningekuwa muokota makopo inawezekana ningekuwa na changamoto zingine; lakini kiongozi siwezi vumilia miaka 800.
Afadhali leo nimekuona umeandika kitu positive bila kujali mapenzi na mahaba yako kwa chama...... hongeraUmaskini unauma hasa unapokuwa umesomesha ajira na teuzi wanajipa wenyewe.
Utakuwa unasoma posti zangu ukiwa umevuta,Afadhali leo nimekuona umeandika kitu positive bila kujali mapenzi na mahaba yako kwa chama...... hongera
Umaskini wa nchi hii unatishaHonestly kama una ubinadamu na utu, huwezi ku relax ukiwa umezungukwa na watu masikini.
Imagine wewe ni mwalimu wa secondary wa St. Kayumba, maumivu ya kuwaona kila siku watoto wa walala hoi ni makubwa sana, inauma mno. Wakati mwingine hata kuchapa unaona huruma.
Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma.Bila kichapo kutembea V8 zikawa hazipandiki hatuwezi heshimiana.😂😂😂 yani kinatakiwa kinuke mwanzo mwisho barabara ziwe hazipitiki ni kipigo tu. Uone kama hawajakaa kamati ya maridhiano
Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma, wanaendesha maV8 ikiwa watu hawana maji, chakula, vitu havishikiki wapo tu kama mazuzu.Bila kichapo kutembea V8 zikawa hazipandiki hatuwezi heshimiana.😂😂😂 yani kinatakiwa kinuke mwanzo mwisho barabara ziwe hazipitiki ni kipigo tu. Uone kama hawajakaa kamati ya maridhiano
Mlishaambiwa kila mtu ale urefu wa kamba Yake,hamkuelewa chief?Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma, wanaendesha maV8 ikiwa watu hawana maji, chakula, vitu havishikiki wapo tu kama mazuzu.
Huwezi kula kwa raha ikiwa jirani yako ana njaa.Mlishaambiwa kila mtu ale urefu wa kamba Yake,hamkuelewa chief?
Ndio chief aliwaambiaga mfumbe macho mle Maisha tu.Huwezi kula kwa raha ikiwa jirani yako ana njaa.
Sawa hakuna namna lakini huku mtaani hali si shwari ata kidogo japo wengine tunapata vicent vidogo na maisha yakiendelea kusonga.Ndio chief aliwaambiaga mfumbe macho mle Maisha tu.
Kuna vitu ambavyo vinasikitisha sana sisi tunaona sawa; kutokana na dharau za viongozi wetu.Huwezi kula kwa raha ikiwa jirani yako ana njaa.
We ni kiongozi haswaIssue sio elimu yangu ata kama ni duni Lakini naona.
Mimi ningekuwa kiongozi nisingeweza kulala kwa amani kwenye geti la askari wakati mitaa michache na nyumba yangu:
Kuna mama anatandikwa na mumewe
Nipite ferry nione mtoto mdogo sijui analala wapi alawatiwe
Nimuone mtu anaangaika kuuza bidhaa nisitafute mbinu za kuakikisha anapata kula ya uhakika
Nione bidhaa zinapanda niache wakati najua wananchi maskini wanaumia.
Na mambo mengine nisikuongopee mimi kama Kilatha nchi kama hiyo ntapigana mpaka naingia kaburini.
Yaani sitoweza kulala kwa amani kama nipo poa. Na nikisema poa yangu ni hela ya kubadili mboga tu.
Especially kwa watoto wadogo yaani nione mtoto wa mchanga mpaka umri wa miaka 16 analala mtaani mjomba huo ugomvi wake auwezi kuwa mdogo kama nina nafasi; yaani mwili unanisisimuka serious nikifikiria how stupid and vulnerable people are at that age.
Labda mi mwenyewe ningekuwa muokota makopo inawezekana ningekuwa na changamoto zingine; lakini kiongozi siwezi vumilia miaka 800.
Utafanyaje kazi wakati mazingira hayajawa rafiki?Kwa mfano mm nimelima mazao yangu kwa gharama zangu mwisho was siku serikali inaingilia uuzaji,naona ng'ambo Kuna solo Bora Ila nakataliwa au nakamatwa Sasa hapo tutafanyaje maendeleo.Brother uongozi ni kitu kigumu sana na pia ni kitu kirahisi sana inategemea na vitu vingi ili kuwa rahisi au kuwa vigumu..
Africa na Tanzania, tunajikita sana kuwalaumu viongozi wetu lakini pia tunasahau maendeleo sio jambo la mchezo mchezo na linahitaji nguvu na akili za watu wooote. JE WATU WOTE WAKO TAYARI KUWEKEZA NGUVU NA AKILI ZAO KWA MUDA MREFU ILI MAENDELEO YAJE KWA MANUFAA YA VIZAZI VIJAVYO?..
Ulaya na America hasa USA hazikuendelea kwa sababu ya akili na nguvu ya mtu mmoja na bado ziaendelea pia sio kwa sababu na akili ya mtu mmoja bali ni KUJITOA (sucrifice ) ya watu wengi wenye lengo moja...
Historia ya Ulaya na USA kufikia maendeleo inapaswa kutupa somo kubwa sana WaAfrica kabla ya kuanza kulaumia wakati hata sisi tunaolaumu hatutimiza wajibu wetu..
JPM akiwa Rais alijaribu kuleta utawala wa kinyapara aka man to man (japo alikuwa na mapungufu yake) ili kila mtu sasa ashiliki kufanya kazi na kuwa na lengo moja kama Taifa, maendeleo maendeleo, kwa wakati huu WaAfrica wanahitaji ukatili ili wajenge nchi zao na then huko mbele woote watajifunza na kukaa kwenye mstari lakini ZILISIKIKA KELELE KILA KONA ZA NCHI NA DUNIA..
Samahani kama niko nje ya maada.
Wewe una utu.Hakika mkuu, mimi nakula nashiba lakini naumia napoona wenzangu wana njaa najikuta machozi yanatoka lakini nashangaa aina ya viongozi wetu mbona hawana huruma.
Very paining, huu uzi unataka kunitoa machozi sasaSawa hakuna namna lakini huku mtaani hali si shwari ata kidogo japo wengine tunapata vicent vidogo na maisha yakiendelea kusonga.
Enoughhhh mkuu unanitoa machoziKuna vitu ambavyo vinasikitisha sana sisi tunaona sawa; kutokana na dharau za viongozi wetu.
Yaani watu hawana aibu kufanya anasa ya maisha mbele ya maskini waliowazunguka.
Watu wengi wenye lengo moja, umeongea pointi ya msingi Sana!Brother uongozi ni kitu kigumu sana na pia ni kitu kirahisi sana inategemea na vitu vingi ili kuwa rahisi au kuwa vigumu..
Africa na Tanzania, tunajikita sana kuwalaumu viongozi wetu lakini pia tunasahau maendeleo sio jambo la mchezo mchezo na linahitaji nguvu na akili za watu wooote. JE WATU WOTE WAKO TAYARI KUWEKEZA NGUVU NA AKILI ZAO KWA MUDA MREFU ILI MAENDELEO YAJE KWA MANUFAA YA VIZAZI VIJAVYO?..
Ulaya na America hasa USA hazikuendelea kwa sababu ya akili na nguvu ya mtu mmoja na bado ziaendelea pia sio kwa sababu na akili ya mtu mmoja bali ni KUJITOA (sucrifice ) ya watu wengi wenye lengo moja... Historia ya Ulaya na USA kufikia maendeleo inapaswa kutupa somo kubwa sana WaAfrica kabla ya kuanza kulaumia wakati hata sisi tunaolaumu hatutimiza wajibu wetu..
JPM akiwa Rais alijaribu kuleta utawala wa kinyapara aka man to man (japo alikuwa na mapungufu yake) ili kila mtu sasa ashiliki kufanya kazi na kuwa na lengo moja kama Taifa, maendeleo maendeleo, kwa wakati huu WaAfrica wanahitaji ukatili ili wajenge nchi zao na then huko mbele woote watajifunza na kukaa kwenye mstari lakini ZILISIKIKA KELELE KILA KONA ZA NCHI NA DUNIA..
Samahani kama niko nje ya maada.
Kumbe hiyo American civil war ilishawahi kutokea? DuuuhWatu wengi wenye lengo moja, umeongea pointi ya msingi Sana!
Kuangushwa Kwa tawala za kinyonyaji na kifalme Ulaya,
Au American civil war!