Wananchi Wa Ubungo Wahamasishana Kutoa Ushahidi Kwenye Tume ya Jaji Lila

Wananchi Wa Ubungo Wahamasishana Kutoa Ushahidi Kwenye Tume ya Jaji Lila

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252


Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila tayari ipo na inaendelea na kazi Wilaya ya Ubungo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, ambapo itakaa hapo kwa muda wa wiki moja kuanzia Tarehe 11 - 16 Oktoba 2026.
 
Aibu mmepata kwa watu kulipuuza genge la Lila japo mnajidai kufunika masikio.

Hivi kwa matukio yale kuna uhitaji wa watu kuhamishwa kwenda kutoa ushahidi?.

Kwanini hiyo inayoitwa tume isiingie yenyewe "ground" kusaka ushahidi maana video zipo mitaa iliyopata madhara inajulikana.

Nakumbuka pia mwenzake na akina Chande alisema video zile za CNN ni za Gaza je siku hizi Gaza ipo sehemu inaitwa Ubungo?

Hii ya kulipa watu waonekane wanahamasisha wala haitosaidia chochote.
 
Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba

Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mstaafu Shaban Lila tayari ipo na inaendelea na kazi Wilaya ya Ubungo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, ambapo itakaa hapo kwa muda wa wiki moja kuanzia Tarehe 11 - 16 Oktoba 2026.
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Sa100 anazidi kutukera tu watanganyika kwa kychezea pesa za umm.Hakukuwa na sababu ya kuunda kamati ya kutafuta chanzo wakati sababu ya maandamano inajulikana kabisa kuwa ni sa100 amekataliwa na watanganyuka wote na tarehe 29/10/2026 tunaandamana tena kwa sababu huyu mama hatumtaki sisi watanganyika
 
Back
Top Bottom