Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

Kuanzia jana jioni, ulizia namna wanavyoshughulikiwa na majeshi ya Russia. ....!

Pia ulizia raia wa Kiev wanaichukuliaje serikali ya mji huo na viongozi wa nchi hiyo. Wewe uliza tu utapata majibu!

Vipi hili swali ulipata jibu?
 
Tumia akili mkuu hizo javelin haijazuia urusi kuchukua maeneo ndo ujue NATO kwa urusi ni takataka.

Hehehe ustadhi zilisaidia sana kufuta msafara uliokuwa umekwenda kuchukua Kyiv.
Binafsi nakumbuka nilikua nimeogopa sana huo msafara.
 
Tumia akili mkuu hizo javelin haijazuia urusi kuchukua maeneo ndo ujue NATO kwa urusi ni takataka.
maana yangu ni kwamba, mwanzoni mwa vita kabisa majeshi ya urusi yalifika Kiev. Leo tunapojadili, hawana tena uwezo huo zaidi ya kurusha makombora. Hata miji iliyochukuliwa mwanzoni mwa vita pia itarudishwa. Wenyewe wanasema vilianzia Crimea na vitaishia hapohapo F16 na zingine zinapelekwa.
 
Back
Top Bottom