Hivyo vijiji havina umeme licha ya nguzo kusambazwa tangu mwaka jana,,Dah upareni kwetu hakuna umeme, hawa ccm ni wa kuwatoa madarakani mana hii haiwezekani bora Ikulu ikose umeme kuliko upareni kwetu.
Natoa saa 24, umeme urudi upareni
Vp lkn, namched [emoji41]
Nazani shida sio hata Ana kilango maana yeye ndie kapambana hadi nguzo zimesambazwa kwenye hivyo vijijiAna kilango mitano tena
Taarifa tunayo. Tulieni hivyo hivyo maendeleo ni hatua nyinyi hatujawafikia. Tunaomba Kura 2025 ili tuwafikieMh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama
Achaneni na CCM kwani miaka yote hiyo wamewafanyia nini na mnaendelea kuomba hadi kesho.Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama