Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama