KERO Wananchi wa vijiji vya Kwa Sekinga, Kanza na Lugulu - Same Mashariki hatujaunganishiwa umeme

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

marigweni

Member
Joined
Feb 27, 2025
Posts
7
Reaction score
3
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama
 
Dah upareni kwetu hakuna umeme, hawa ccm ni wa kuwatoa madarakani mana hii haiwezekani bora Ikulu ikose umeme kuliko upareni kwetu.

Natoa saa 24, umeme urudi upareni

Vp lkn, namched 😎
 
Dah upareni kwetu hakuna umeme, hawa ccm ni wa kuwatoa madarakani mana hii haiwezekani bora Ikulu ikose umeme kuliko upareni kwetu.

Natoa saa 24, umeme urudi upareni

Vp lkn, namched [emoji41]
Hivyo vijiji havina umeme licha ya nguzo kusambazwa tangu mwaka jana,,
 
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama
Taarifa tunayo. Tulieni hivyo hivyo maendeleo ni hatua nyinyi hatujawafikia. Tunaomba Kura 2025 ili tuwafikie
 
Inasikitisha mchaga kwao hakuna umeme - wanapenda kutuongoza mtaongoza giza
 
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same mashariki ,maana tangu nguzo zaumeme zisambazwe mwaka jana 2024 mwezi wakumi hadi sasa wananchi hawajaunganishiwa umeme kwenye nyumba zao ,Mama yetu tunaomba msaada wako ili tuweze kupata huduma hii ya umeme ,Mungu akubariki mama
Achaneni na CCM kwani miaka yote hiyo wamewafanyia nini na mnaendelea kuomba hadi kesho.
 
Back
Top Bottom