Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Habari ndio hiyo .This is Tanzania
Pamoja na ukweli kwamba Karia ni Simba mwenzetu lakini ule upuuzi wake hauvumilikiKwani atakuja?
Akija na jezi nyekundu sitamuzomea!
"Hatutaki matundulisu"Pamoja na ukweli kwamba Karia ni Simba mwenzetu lakini ule upuuzi wake hauvumiliki
Ilo aliwezi kutokea, Upuuzi wenu wa kwenye siasa hauingii mpirani.Njia pekee ya Karia kukwepa aibu hii ni kutokanyaga uwanjani
Hii unaniambia mimi au wamwambia Karia ?Ilo aliwezi kutokea, Upuuzi wenu wa kwenye siasa hauingii mpirani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatoki mkuu !!Naungana na hao wanachi kumzomea huyo ali shaababu
Kuna MTU mmoja mwenye busara alisema siku Simba Na Yanga wakiungana CCM chaliiiKwani atakuja?
Akija na jezi nyekundu sitamuzomea!
Tunatuma wapi hela ya mchango mkuu?Hii ni taarifa ambayo tayari imezagaa mitaa yote ya Temeke , maeneo ya Chuo kikuu DUCE na Bar zote zinazozunguka Uwanja wa Taifa .
Tukio hili laweza kuwa onyo na angalizo kwa viongozi wengine wa soka wanaoingiza itikadi za kishamba za vyama vyao vya siasa kwenye masuala muhimu na nyeti ya Soka , Soka na michezo mingine ndio eneo pekee.ambalo watu wa itikadi tofauti wanakutana , kuingiza masuala ya kisiasa ni sawa na kutaka kuleta vurugu kwa makusudi
Huna kumbukumbu mkuu, uliza watu wakuambie. Kuna mtu alizomewa uwanja wa Taifa kwa sababu hizohizo za siasa, na kuna wanasiasa walishangiliwa mpirani uwanja wa Taifa.Ilo aliwezi kutokea, Upuuzi wenu wa kwenye siasa hauingii mpirani.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuuHii thread imekaa kichochezi