Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni taarifa ambayo tayari imezagaa mitaa yote ya Temeke , maeneo ya Chuo kikuu DUCE na Bar zote zinazozunguka Uwanja wa Taifa .
Tukio hili laweza kuwa onyo na angalizo kwa viongozi wengine wa soka wanaoingiza itikadi za kishamba za vyama vyao vya siasa kwenye masuala muhimu na nyeti ya Soka , Soka na michezo mingine ndio eneo pekee.ambalo watu wa itikadi tofauti wanakutana , kuingiza masuala ya kisiasa ni sawa na kutaka kuleta vurugu kwa makusudi