Wananchi wajipanga kumzomea Wallace Karia Uwanjani , Ujinga wake wa kumtukana Tundu Lissu wamponza

Wananchi wajipanga kumzomea Wallace Karia Uwanjani , Ujinga wake wa kumtukana Tundu Lissu wamponza

Vipi mkuu karia kakuchukulia make nini? Maana umemwandama sana! Halafu alikuwepo uwanjani lkn mbona hiyo zomea hatujaiona?
 
Hii ni taarifa ambayo tayari imezagaa mitaa yote ya Temeke , maeneo ya Chuo kikuu DUCE na Bar zote zinazozunguka Uwanja wa Taifa .

Tukio hili laweza kuwa onyo na angalizo kwa viongozi wengine wa soka wanaoingiza itikadi za kishamba za vyama vyao vya siasa kwenye masuala muhimu na nyeti ya Soka , Soka na michezo mingine ndio eneo pekee.ambalo watu wa itikadi tofauti wanakutana , kuingiza masuala ya kisiasa ni sawa na kutaka kuleta vurugu kwa makusudi
Huyo karia mjinga mjinga sana nimemsikia kauli zake kadhaa!!anataka kuhusisha sana tff na utawala wa jpm huku akitaka kama kuifanya tff ya ccm!!
 
Back
Top Bottom